dear amu...

dear amu...

Mkuu nilitaka kumtahadharisha Amu kuwa wakushi huwa ni moto.......yaani atachomeka kinoma......si unajua ukisha gonga hiyo kitu tena......
aah wapi bana...sarikoki,si na choma kama nini just nikitaka kumediteti
 
  • Thanks
Reactions: amu
usituzingue wenzako alaa!!
kama umempenda basi barua yao sharti iwe na kishika uchumba!!
halafu utulie tukutaajie mahari yetu.
hapa mjini hakuna swala la moyo umekudondokea lkini sila pesa............hiyo ni big NOOO
Huyu rasta namshangaa kumdondokea mai waifu wangu!
 
ndugu,jamaa na marafiki...naomba waraka wangu special umfikie huyu dada,BINTI AMU.nimetokea kumdondokea sana kwa moyo wangu huyu binti.waungwana kama kunayoyote ambae anammiliki huyu kimwana aseme maana ndo na start

Mi namjua anaemmiliki
Nirushie eateli mane ya buku tatu nikuambie!
 
  • Thanks
Reactions: amu
Huyu rasta namshangaa kumdondokea mai waifu wangu!
kakaaa am just simple rasterman ambae ana try kuonyesha feeling zake...kama anamtu naweza kupotezea bana mambo ya kupigana visu noma
 
  • Thanks
Reactions: amu
waungwana kama kunayoyote ambae anammiliki huyu kimwana aseme maana ndo na start

Sikujua wanawake wanamilikiwa kama kumiliki gari
Ndio sababu Bazazi huwagegeda tu na kuwa-dump
Sitaki kumiliki wala kumilikiwa;
Ukiweza kula mayai yanini kuvuga Khunkhu
Ujenge Banda, Ulinde vicheche, Usafishe banda
Na kisa nyumba inakuwa na harufu ya mavi ya kuku
Taabu ya nini,
Kwa kweli sioni cha kufia

Lakini nimeipenda tahadhari yako.
Ingawa "anayemilikiwa hana gharama"
Unagegeda unasepa wala hajali

Bazazi!
​
 
kweli we bazazi....nimekupa saluti,mi nataka kujiweka hapo bana staki kufunua na kufunika,nataka pumziko la roho
 
Sikujua wanawake wanamilikiwa kama kumiliki gari
Ndio sababu Bazazi huwagegeda tu na kuwa-dump
Sitaki kumiliki wala kumilikiwa;
Ukiweza kula mayai yanini kuvuga Khunkhu
Ujenge Banda, Ulinde vicheche, Usafishe banda
Na kisa nyumba inakuwa na harufu ya mavi ya kuku
Taabu ya nini,
Kwa kweli sioni cha kufia
Lakini nimeipenda tahadhari yako.
Ingawa "anayemilikiwa hana gharama"
Unagegeda unasepa wala hajali

Bazazi!
​

Naanza kuamini jina linasababisha tabia
 
  • Thanks
Reactions: amu

Similar Discussions

Back
Top Bottom