Kabla sijatia neno,naombeni mnikumbushe mchango wake kwenye jamìi
Usitukumbushe wauwaji wale. Kama sio helaa ni nini, maweee???
sheikh ponda tu atoke ndani, mambo yote yataka sawaafya ya mkurugenzi wa makosa ya jinai wa jeshi la polisi nchini (dci), robert manumba inazidi kuwa mbaya baada ya kuwapo taarifa kwamba amekata kauli na mawasiliano kwa siku tatu mfululizo, huku akiendelea kupumua kwa msaada wa mashine.
hali hiyo tete ya afya yake imesababisha kuwapo kwa usiri mkubwa kutoka kwa maofisa wa jeshi la polisi, madaktari wanaomtibu na ndugu zake.
akizungumza na waandishi wa habari kwa kifupi sana, daktari mkuu wa hospitali ya aga khan alikolazwa, jaffer dharsee alisema kuwa atakuwa tayari kueleza maendeleo ya matibabu ya manumba jumatatu ijayo.
dci manumba bado yupo katika chumba maalumu akiendelea na matibabu chini ya uangalizi maalum wa madaktari na wauguzi, alisema dk. Dharsee.
hata hivyo, uchunguzi uliofanywa na gazeti hili katika viwanja vya hospitali hiyo jijini dar es salaam, umebaini kuwa hali ya dci huyo inakatisha tamaa.
hali hiyo ndiyo imeifanya serikali kushindwa kumsafirisha nje ya nchi kwa matibabu zaidi.
hakuna mtu anayeruhusiwa kuingia kumwona isipokuwa kwa baadhi ya viongozi na ndugu wachache muhimu.
manumba aliugua ghafla na kulazwa hospitali ya taifa muhimbili, akipatiwa matibabu kwa kile kilichoelezwa kuwa na wadudu wengi wa ugonjwa wa malaria.
hata hivyo, januari 14, alihamishiwa katika hospitali ya aga khan kwa matibabu zaidi na kuwekwa kwenye chumba cha wagonjwa mahututi.
manumba aliteuliwa na rais kikwete kushika wadhifa huo mwaka 2006, akichukua nafasi ya adadi rajabu.
Mtanzania
Kabla sijatia neno,naombeni mnikumbushe mchango wake kwenye jamìi
AFYA ya Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi nchini (DCI), Robert Manumba inazidi kuwa mbaya baada ya kuwapo taarifa kwamba amekata kauli na mawasiliano kwa siku tatu mfululizo, huku akiendelea kupumua kwa msaada wa mashine.
Hali hiyo tete ya afya yake imesababisha kuwapo kwa usiri mkubwa kutoka kwa maofisa wa Jeshi la Polisi, madaktari wanaomtibu na ndugu zake.
Akizungumza na waandishi wa habari kwa kifupi sana, Daktari Mkuu wa Hospitali ya Aga Khan alikolazwa, Jaffer Dharsee alisema kuwa atakuwa tayari kueleza maendeleo ya matibabu ya Manumba Jumatatu ijayo.
DCI Manumba bado yupo katika chumba maalumu akiendelea na matibabu chini ya uangalizi maalum wa madaktari na wauguzi, alisema Dk. Dharsee.
Hata hivyo, uchunguzi uliofanywa na gazeti hili katika viwanja vya hospitali hiyo jijini Dar es Salaam, umebaini kuwa hali ya DCI huyo inakatisha tamaa.
Hali hiyo ndiyo imeifanya serikali kushindwa kumsafirisha nje ya nchi kwa matibabu zaidi.
Hakuna mtu anayeruhusiwa kuingia kumwona isipokuwa kwa baadhi ya viongozi na ndugu wachache muhimu.
Manumba aliugua ghafla na kulazwa Hospitali ya Taifa Muhimbili, akipatiwa matibabu kwa kile kilichoelezwa kuwa na wadudu wengi wa ugonjwa wa malaria.
Hata hivyo, Januari 14, alihamishiwa katika Hospitali ya Aga Khan kwa matibabu zaidi na kuwekwa kwenye chumba cha wagonjwa mahututi.
Manumba aliteuliwa na Rais Kikwete kushika wadhifa huo mwaka 2006, akichukua nafasi ya Adadi Rajabu.
Mtanzania
Kukata kauli=StuporousMiaka hii wengi wanachagua siku ya kutangaza kufa kwao hasa walaji wa nchi, huyu jamaa kesha ondoka wanasubiri tarehe waliyopanga tuu. Nini maana ya "Kukata Kauli"?
Are u serious????M is no more
AFYA ya Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi nchini (DCI), Robert Manumba inazidi kuwa mbaya baada ya kuwapo taarifa kwamba amekata kauli na mawasiliano kwa siku tatu mfululizo, huku akiendelea kupumua kwa msaada wa mashine.
Hali hiyo tete ya afya yake imesababisha kuwapo kwa usiri mkubwa kutoka kwa maofisa wa Jeshi la Polisi, madaktari wanaomtibu na ndugu zake.
Akizungumza na waandishi wa habari kwa kifupi sana, Daktari Mkuu wa Hospitali ya Aga Khan alikolazwa, Jaffer Dharsee alisema kuwa atakuwa tayari kueleza maendeleo ya matibabu ya Manumba Jumatatu ijayo.
DCI Manumba bado yupo katika chumba maalumu akiendelea na matibabu chini ya uangalizi maalum wa madaktari na wauguzi, alisema Dk. Dharsee.
Hata hivyo, uchunguzi uliofanywa na gazeti hili katika viwanja vya hospitali hiyo jijini Dar es Salaam, umebaini kuwa hali ya DCI huyo inakatisha tamaa.
Hali hiyo ndiyo imeifanya serikali kushindwa kumsafirisha nje ya nchi kwa matibabu zaidi.
Hakuna mtu anayeruhusiwa kuingia kumwona isipokuwa kwa baadhi ya viongozi na ndugu wachache muhimu.
Manumba aliugua ghafla na kulazwa Hospitali ya Taifa Muhimbili, akipatiwa matibabu kwa kile kilichoelezwa kuwa na wadudu wengi wa ugonjwa wa malaria.
Hata hivyo, Januari 14, alihamishiwa katika Hospitali ya Aga Khan kwa matibabu zaidi na kuwekwa kwenye chumba cha wagonjwa mahututi.
Manumba aliteuliwa na Rais Kikwete kushika wadhifa huo mwaka 2006, akichukua nafasi ya Adadi Rajabu.
Mtanzania
Hatumwombei mauti lakini ikitokea, Mh Dr Jakaya M Kikwete, Amri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama atakatiza ziara yake ya kiserikali huko Ufaransa aje kuwahi msiba.
Kumbe anatambulika kwa USA ndio maana wanataka taarifa ziwe na mashiko si za kubabaisha, poleni saana wandugu!!!!Amepunguza vitendo vya ujambazi wa mchana kweupe uliokuwepo enzi zile, Aliongoza timu ya wapelelezi kwenye
tukio la ugaidi dhidi ya ubalozi wa marekani hapa nchini kwa mafanikio makubwa na walipatia tuzo, anazo tuzo kadhaa
za ndani na nje ya nchi kuhusiana na umahiri wake katika upelelezi, ni msomi mwenye shahada ya uzamili ya sheria, ni baba wa familia, nk...
malaria sugu!hivi ni malaria tu au kuna lingine??? Kama ni malaria basi ni kiboko... Au wenzake hawakumpa technics za kubadili blad???
Nani katika serikali ya JK ana uwezo wa kueleza sababu za DCl kuhamishwa Hospitali ya Rufaa,kwenda hospitali binafsi?!
Au watadai familia yake iliomba hivyo.. Eti mkuu NGUVUMOJA