BHULULU
JF-Expert Member
- Jun 28, 2012
- 4,994
- 2,044
Sidhan kama kuweka chembe ya siasa kwenye habar kma hii ni sawa....ifikie pahala tuthamini uhai wa mtu, huna haja ya kutokumnunulia viatu mwanao eti kwa 7bu we baba ake hukuvaa wkati unasoma....MUNGU amuafu MANUMBA
Are you serious? Wao wanathamini uhai wetu eti???