Chum Chang
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 999
- 272
Dunia adaa ulimwengu shujaa
Naomba mchango wa huyu jamaa kwenye ujenzi wa taifa hili...mbona hamsemii..mmekazana ripii..ripii...sorry,mmekazana get well soon tuu...:majani7:
Umekua adimu sana wapi mkuu wangu?Hapo kwenye KIBINADAMU TUNAKUOMBEA UPONE NIMEPAPENDA........LAKINI MAPENZI YAKE ALLIYEKO JUU YATIMIE ILI KUKIOKOA KIZAZI HIKI.
Nafuu gani wakati anachagua kesi za kufanyia kazi -mwache iwe kama ilivyopangwa kama kwenda ende tutakutana huko mbele paradisoMungu mjalie mja wako apate nafuu.Arudi kutumikia Taifa
hujui? DCI anaweza kuchukua 1 months hatujui kwamba yupo hai au amefariki. kama rais wa israel. unacheza na kesi ya Ponda wewe?Ishiiiii, ona hili nalo!!!
Ss ponda anahusika nn hapa??
Aise, kumbe ikishindikana Muhimbili unahamia Aga Khan, au mi sijaelewa?
Ulimuambukiza wewe Malaria Suguhujui? DCI anaweza kuchukua 1 months hatujui kwamba yupo hai au amefariki. kama rais wa israel. unacheza na kesi ya Ponda wewe?
SawaMuulize Samuel Sita na Mwakyembe watakueleza, wakigoma kukujibu iulize Familia ya Mwangosi, ila ana mchango mzuri tu wa kuwakamata wanaotuhumiwa walimuuwa Kamanda Liberatus Barlow wa Mwanza.
ohoooommmmmmmmmmmmmh....ngoja tusubiri.
ohooooHivi ni malaria tu au kuna lingine??? Kama ni malaria basi ni kiboko... au wenzake hawakumpa technics za kubadili blad???
Kuna nini?Sawa