Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,100
- 1,955
Ama kweli serikali ya m.k.w.e.r.e imechokwa!
wanahofu nini? Hakuna mzalendo atakayepata presha kwa kifo cha mtu huyo,mwangosi anamsubiri kwa hamu kujua maendeleo ya uchunguzi wa kesi ya wauaji wake,R.I.HAmesha danja huyo, wanatupotezaea tu ili kutujenga kisaikolojia ktk kupokea taarifa ya kifo chake.
Muulize Samuel Sita na Mwakyembe watakueleza, wakigoma kukujibu iulize Familia ya Mwangosi, ila ana mchango mzuri tu wa kuwakamata wanaotuhumiwa walimuuwa Kamanda Liberatus Barlow wa Mwanza.
Aise, kumbe ikishindikana Muhimbili unahamia Aga Khan, au mi sijaelewa?
Amesha danja huyo, wanatupotezaea tu ili kutujenga kisaikolojia ktk kupokea taarifa ya kifo chake.
Amesha danja huyo, wanatupotezaea tu ili kutujenga kisaikolojia ktk kupokea taarifa ya kifo chake.
Aise, kumbe ikishindikana Muhimbili unahamia Aga Khan, au mi sijaelewa?
Mhhh watu mna roho mbaya ka niniDr.akikajaga pipe za pumnzi kwa bahati nzuri biashara imekwisha
Amesha danja huyo,
wanatupotezaea tu ili kutujenga kisaikolojia ktk kupokea taarifa ya kifo
chake.
AFYA ya Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi nchini (DCI), Robert Manumba inazidi kuwa mbaya baada ya kuwapo taarifa kwamba amekata kauli na mawasiliano kwa siku tatu mfululizo, huku akiendelea kupumua kwa msaada wa mashine.
Hali hiyo tete ya afya yake imesababisha kuwapo kwa usiri mkubwa kutoka kwa maofisa wa Jeshi la Polisi, madaktari wanaomtibu na ndugu zake.
Akizungumza na waandishi wa habari kwa kifupi sana, Daktari Mkuu wa Hospitali ya Aga Khan alikolazwa, Jaffer Dharsee alisema kuwa atakuwa tayari kueleza maendeleo ya matibabu ya Manumba Jumatatu ijayo.
DCI Manumba bado yupo katika chumba maalumu akiendelea na matibabu chini ya uangalizi maalum wa madaktari na wauguzi, alisema Dk. Dharsee.
Hata hivyo, uchunguzi uliofanywa na gazeti hili katika viwanja vya hospitali hiyo jijini Dar es Salaam, umebaini kuwa hali ya DCI huyo inakatisha tamaa.
Hali hiyo ndiyo imeifanya serikali kushindwa kumsafirisha nje ya nchi kwa matibabu zaidi.
Hakuna mtu anayeruhusiwa kuingia kumwona isipokuwa kwa baadhi ya viongozi na ndugu wachache muhimu.
Manumba aliugua ghafla na kulazwa Hospitali ya Taifa Muhimbili, akipatiwa matibabu kwa kile kilichoelezwa kuwa na wadudu wengi wa ugonjwa wa malaria.
Hata hivyo, Januari 14, alihamishiwa katika Hospitali ya Aga Khan kwa matibabu zaidi na kuwekwa kwenye chumba cha wagonjwa mahututi.
Manumba aliteuliwa na Rais Kikwete kushika wadhifa huo mwaka 2006, akichukua nafasi ya Adadi Rajabu.
Mtanzania
Mungu fanya muujiza manumba apone