DC aendelea na kuifanyia CCM kampeni Igunga

Huyo mama anatumiwa, amekubali kutumika. Wananchi wa Igunga wapuuzeni hao wendawazimu. Uislamu hauruhusu wizi, dhuluma wala unyanyasaji.
 
Tangu sakata la kukamatwa kwa DC wa Igunga akihalifu sheria chama ca CCM kimekuwa kikifanya propaganda chafu sana,ya UDINI hapa Igunga mjini,jana wilayani Uyui Dc huyu alitoa laki moja hadharani na kulia machozi,huku akiwahamasisha waislama kuandamana kuipinga chadema et alivuliwa HIJAB.Huu ni mkakati mchafu wa ccm,na ni uwendawazimu,kimsingi chadema hatukumkamata huyu DC kwa dini yake,au rangi ya chama chake.tulimkamata kwa kuwa alihalifu sheria,na nguvu iliyotumika kumkamata inakubalika kisheria.
Dc huyu anaendela kuifanyia ccm kampeni,na usiku wa jana alikuwa n a wakinamama(wanawake)kwenye jengo la serikali anakoishi,anatumia kodi za wananchi kuifanyia ccm kampeni.
Hilo siyo kosa, kisheria.
Kuhusu udini hilo ni kosa...... ila mahakama ipo,kamati ya uchaguzi ipo.
 
Wewe ni mpumbavu ambaye hata ungepelekwa darasan miaka 50 huwez kuelimika,wewe endelea kumtumikia Nape na pia itakuwa vzr zaid kumkabidh mkeo. Chadema ni chama cha wananch na si cha wachaga kama unavyofikiria kwa upeo wako mdogo..
 
Back
Top Bottom