Mkuu,
Nilidhani ni mtu mzima na unaakili za kutosha kumbe huna kitu huko kichwani. Nashawishika kusema hata masaburi unayotumia are like empty vaccum! Ndio maana ukakurupuka kuzungumzia katiba usiyoijua sasa umerudi na lingine!
Mgombea wa cdm, kama alivyo wa ccm kwasasa hawatumikii serikali kwakuwa wameomba likizo zisizo za malipo! Huyo dc wa igunga yupo likizo?
Kweli shule za kata zimetuharibia sana vijana! Mnakurupuka tu usingizini na kujibu hoja za msingi. Poor U!
kaka nimetoka Ofcni mda c mrefu... Kwa u2livu nikaanza kupitia híi thread, nikasoma post ya kilaza phila wat cjui... Nikaanza kutafuta inayofuata nione alivyojibu hoja ya katiba aliyozungumzia.... Jibu nliloliana dah.. sima mbavu, mpaka hm hapa wananishangaa hapa... Ikabdi niwaambie kuna Mazuzu yame2mwa Na NEPI kwenye social ntworks hopeles kabisa....