DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

maji eneo la banana ukonga mtasambaza lini majumbani maana tunayaona yanamwagika tu barabarani ila tukienda dawasco tabata kuomba kutuunganishia maji wanasema hawana miundo mbinu huku ya bomba ndogo la kuwaaunganisha watu mitaani kwao.

Hivi mpo serious na biashara au mnasubiri mpaka mheshimiwa rais aje awashtue.
 
Kuunganishwa maji tumelipia sasa mwezi hatujaunganishiwa ni stories za mita hazijaja, kwa nini mlitukimbiza kulipia haraka haraka? Poor DAWASA TABATA.
 
Tunashukuru kwa huduma zenu nzuri. Leo karibu wiki ya pili huku Makongo mwisho (mtaa wa Columbus), hatuna maji ya bomba kulikoni?
 
DAWASA siku hizi hawaeleweki. Mita ya maji mwezi Juni ilisoma tumetumia unit 13. Mwezi wa saba hatukuepo nyumbani kwa wiki 2. Mita inasoma unit 8 ila meseji inaletwa umetumia unit 20.

Ukiwafuata ofisini (kituo cha Kawe) hawatoi ushirikiano. Either ulipe au ukatiwe maji. Wato wengi wanalalamika lakini naona hakuna mtu anatokea kuleta suluhisho.

Mh. Magufuli. Hawa DAWASA ni jipu.
 
Unaweza kusoma mita ya maji? Sasa kwanini ulipe tofauti tatizo sio kuwapo au kutokuwapo je mita inasoma unit ngap wale wanaokuja kusoma huwaulizi
 
DAWASA siku hizi hawaeleweki. Mita ya maji mwezi Juni ilisoma tumetumia unit 13. Mwezi wa saba hatukuepo nyumbani kwa wiki 2. Mita inasoma unit 8 ila meseji inaletwa umetumia unit 20.

Ukiwafuata ofisini (kituo cha Kawe) hawatoi ushirikiano. Either ulipe au ukatiwe maji. Wato wengi wanalalamika lakini naona hakuna mtu anatokea kuleta suluhisho.

Mh. Magufuli. Hawa DAWASA ni jipu.
Unaweza kusema DAWASCO Kumbe tatizo liko kwako.....mfano mimi Bomba letu kutoka kwenye meter kuja ndani likikuwa linetoboka maji yanapotea chini Kumbe ni uchakavu wa mabomba yetu leakage kibao check system yako ya bomba Kabla hujaleta lawama dawasco pressure ya maji imeongezwa mabomba yazamani yanapasuka sana
 
Naongelea DAWASA mkuu. Hiyo DAWASCO unaijua wewe mwenyewe!
 
Habari za asubuhi wadau? Kuna tatizo Mbezi Luis, mtaa wa Muhimbili, sijajua linasababishwa na nini? Kumewekwa mabomba muda sasa yapata mwaka mpaka sasa maji hayatoki.
Bora hata huko. Sisi huku Makabe hata miundombinu hamna
 
DAWASA mkuu .....hilo ndo umeona katika maelezo .....unaonekana unamajivuno sana ndo maana kawe hawakuelewi.....mbona wengine tunasikilizwa vizuri tuu na hatua zinafanywa vizuri

Sewage charge inaongezeka kila mwezi wakati mi chemba yao inatema kila siku.
 
Ndugu wana JamiiForums,

Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu yaliyo Jijini Dar es salaam , miji ya Kibaha na Bagamoyo Mkoani pwani. DAWASCO inapokea maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki kwa haraka zaidi.

Ndugu wana jukwaa, DAWASCO inajipambanua kwa kusimamia maadili ,kutoa huduma iliyotukuka pamoja na kuhakikisha huduma ya Maji inapatikana kwa kila mwananchi.

Kama kutatokea kuharibika kwa bomba, wizi wa Maji, umepata huduma isiyo ridhisha au ufanyaji kazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:

1. Kupitia tovuti: DAWASCO - Welcome to new site
2. Kupitia mitandao yetu ya kijamii ikiwa ni pamoja na Twitter|DawascoOfficial..Facebook|DawascoOfficial ...Instagram|DawascoOfficial
3. Kwa mwananchiposta ; Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:

Afisa Mtendaji Mkuu
DAWASCO
P. O. Box 5340
Sokoine Drive
Dar es Salaam, Tanzania.

4. Au kwa kupiga simu huduma kwa wateja dawasco
0800110064 /022 2164800 ( Kupiga namba hizi ni Bure)

DAWASCO HUDUMA KWA WATEJA 0800110064
DAWASCO ILALA 0743 451879
DAWASCO KAWE 0743 451861
DAWASCO KIBAHA 0743 451875
DAWASCO KIMARA 0743 451865
DAWASCO KINONDONI 0743 451863
DAWASCO BAGAMOYO 0743 451877
DAWASCO MAGOMENI 0743 451862
DAWASCO TEGETA 0743 451881
DAWASCO TABATA 0743 451867
DAWASCO TEMEKE 0743 451866

INASHANGAZA KWA SERIKALI YA SASA INAYOPENDA WANANCHI WAKE NA BADO WATUMISHI KADHAA WANAACHA KUSAIDIA WATU

DAWASCO KIMARA WAMEKUWA NIKEROO TOPIC KAMA HIZI AZIKUTAKIWA KUJADILIWA HASA KIPINDI CHA UCHAGUZI MNS KUNA WATU WAMEACHA KUFWATA WAJIBU WAOOOO
Screenshot_20200813-194852.png
Screenshot_20200813-194825.png
Screenshot_20200813-194852.png
Screenshot_20200813-194825.png

TUNAOMBA MENEJA MKUU ENGN ANGALIA HAYA.MALALAMIKO.MANASAIDIAJE WANANCHI NAMBA ZAKUPIGA ZIKOHAPO
 
anzisheni magroup ya whatsapp kama wenzenu wa TANESCO. Kuna kipindi mnakata maji na hata hatujui wapi pa kuuliza maji yanarudi lini
 
Kuunganishwa maji tumelipia sasa mwezi hatujaunganishiwa ni stories za mita hazijaja, kwa nini mlitukimbiza kulipia haraka haraka? Poor DAWASA TABATA.

Hawa DAWASA Tabata sijui wapoje
Maji wiki ya 3 saiv hayatoki sijui wanatuonaje
Si mseme tu hamuwez kuhudumia watu waangalie namna nyingne?
 
Unaweza kusema DAWASCO Kumbe tatizo liko kwako.....mfano mimi Bomba letu kutoka kwenye meter kuja ndani likikuwa linetoboka maji yanapotea chini Kumbe ni uchakavu wa mabomba yetu leakage kibao check system yako ya bomba Kabla hujaleta lawama dawasco pressure ya maji imeongezwa mabomba yazamani yanapasuka sana
Jirani yangu hapa mipira na konektaz vibaka wametembea navyo yapata miezi miwili sasa (hajahamia bado anakuja tu weekend kubarizi) dawasa wamemletea bili ya buku 30!

Wakati wanapita kusoma hapa wanaulizwa hiyo bili wametoa wapi ingali maji hayafiki kwenye mita wamebaki wanacheka cheka tu
 
Na kwann pia wananchi wanachangishwa pesa kuunganishiwa maji? Tukija ofisini kwenu mnatoa visingizio vya vifaa hakuna itachukuwa mda mrefu mno kupatikana.

Mtu aingie mfukoni kununua marola ya mipira konektaz sijui makitu gani huko, kwann inakuwa hivi?
 
Back
Top Bottom