DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

Sisi survey ameshakuja amepima badae wanatuambia vifaa hamna tunamiezi mitatu sasa hawajafika tena na badae tunafatilia tunakuta ofis imefungwa ni huku kuna itwa msingwa ukifika mbezi msuguri unaingia ndani ndani hili suala limekaaje na documents zote zipo huko..
Afadhari wewe umejileta kuwasikiliza wadau, big up
 
Ningependa kufaham bei ya unit moja ya maji kwa matumiz ya nyumban ni tsh ngap?
 
Pia ikiwa bei kwa unit imepanda ni utaratib gan unatumika kumjulisha mteja, au akutane nayo huko huko kweli bili bila tarifa za awal?
 
hivi hakuna uwezekano wa kuwa na luku ya maji

mimi mita ilikuwa unit 47 mwezi ulopita nikalipia mweźi huu mita inasoma unit 52 natumiwa sms eti nimetumia unit 11 eti mnadai mita inasoma 25 hadi 36

huu si ni wizi huu wangapi mnawabambika bili kwa upuuzi huu

inamaana mwezi ujao mkisoma mita mfano ikisoma 56 mtanambia nadaiwa unit 20 yaani 56-36 hamuoni mtanibambika bili isiyo yangu
 
Wakuu DAWASA
Habari za kuamka

Hili suala la maji kitokutoka leo wiki ya pili ningependa kufahamu kitu kinachoendelea

Huku Kimara streaming zinazoelekea Mavurunza kupitia Vyumba vinane (V8) kwenda Bonyokwa hatuna maji wiki ya pili sasa na hakuna taarifa yoyote

Sent using [iPhone 11Pro Max
 
Tunashukuru kwa kutukumbuka wana kifuru kwa maji, Ila kasi ni ndogo mnoo, naomba muongeze kasi ili na serekali ipate mapato mapema na kwa wakati kupitia service charges na Bili.
Wasalaam....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JAMANI POLENI NA MAJUKUMU ENEO LETU KINYEREZI MTAA WA KANGA WAMEKUJA KUPIMA NA KUTUAHIDI WANAKUJA KULETA MAJI MARA YA MWISHO KAMA MWEZI MZIMA ULIOPITA TUKAAMBIWA MABOMBA YAMEISHA JE KWELI MPAKA LEO DECEMBER HAKUNA MABOMBA? MBONA KUNAWENZETU WALIPATA ?
 
Kitengo chenu cha Huduma kwa wateja kinafanya kazi vizuri. Kero zinashughulikiwa ns kupata mrejesho
 
Malambamawili mwisho maji tunapata lini? Maana tangu mchina alaze bombo kuu hakuna kinachoendelea.

Watu Ni wengi mnashindwaje kutumia fursa hii tupate maji na nyie mpate pesa?

Tunaomba majibu, maana tumechoka kununua maji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sawasco kimara sio wasikivu kwenye huduma za maji yanayomwagika barabarani ovyo kwa kiweka mipora isiyo na ubora na kina cha uifashi bomba mabomna kiwa juu ya ardhi kwa uzembe wa wachimbaji na wao hawajiusishi tena kwa zaidi ya kidai bili na kukata maji
mfano mie bomba linapasuliwa aifiki mwezi linakanyagwa na kupasuliwa nawaambia wanibadilishie laini hawataki sikia anadai tuu mnakera sana napata hasara ya kila mwezi 20000 nani atanilipa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni ubahili, mchangie JF laki moja tu muwe Platinum members haiwezekani na sio ustaarabu mnaweka matangazo hapa na hamlipi hata sumni. Halafu watu wenu wamekata mabomba ya maji wakati barabara inatengenezwa! Tumepiga simu hamji kuyatengeneza lakini bili ikipita hata sekunde mnatishia kufunga! Huu pia si ustaarabu. Karibu
Ndugu wana JamiiForums,

Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu yaliyo Jijini Dar es salaam , miji ya Kibaha na Bagamoyo Mkoani pwani. DAWASCO inapokea maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki kwa haraka zaidi.

Ndugu wana jukwaa, DAWASCO inajipambanua kwa kusimamia maadili ,kutoa huduma iliyotukuka pamoja na kuhakikisha huduma ya Maji inapatikana kwa kila mwananchi.

Kama kutatokea kuharibika kwa bomba, wizi wa Maji, umepata huduma isiyo ridhisha au ufanyaji kazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:

1. Kupitia tovuti: DAWASCO - Welcome to new site
2. Kupitia mitandao yetu ya kijamii ikiwa ni pamoja na Twitter|DawascoOfficial..Facebook|DawascoOfficial ...Instagram|DawascoOfficial
3. Kwa mwananchiposta ; Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:

Afisa Mtendaji Mkuu
DAWASCO
P. O. Box 5340
Sokoine Drive
Dar es Salaam, Tanzania.

4. Au kwa kupiga simu huduma kwa wateja dawasco
0800110064 /022 2164800 ( Kupiga namba hizi ni Bure)

DAWASCO HUDUMA KWA WATEJA 0800110064
DAWASCO ILALA 0743 451879
DAWASCO KAWE 0743 451861
DAWASCO KIBAHA 0743 451875
DAWASCO KIMARA 0743 451865
DAWASCO KINONDONI 0743 451863
DAWASCO BAGAMOYO 0743 451877
DAWASCO MAGOMENI 0743 451862
DAWASCO TEGETA 0743 451881
DAWASCO TABATA 0743 451867
DAWASCO TEMEKE 0743 451866

Watu wa Mbagala tutapata lini huduma ya maji? Natokea kata ya Mianzini
 
Malambamawili mwisho maji tunapata lini? Maana tangu mchina alaze bombo kuu hakuna kinachoendelea.

Watu Ni wengi mnashindwaje kutumia fursa hii tupate maji na nyie mpate pesa?

Tunaomba majibu, maana tumechoka kununua maji

Sent using Jamii Forums mobile app
Huku malambamawili wanatuzunguka tu na mabomba wametandaza ili hatujui kinachoendelea. Ni bora watuambie lini haswa watatuletea maji kwani kununua lita 1000 kwa 15000 ni jambo gumu na uchumi wenyewe mgumu sana. Maji wanakuja kuuza ila utazania wanakuja kugawa bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...Ninaomba kuuliza na Mnisamehe sana kama swali hili limeishaulizwa na kujibiwa huko nyuma:
Hivi Unit Moja ya Maji kwa Hapa Darisalama ni Shilingi Ngapi?...Maana kijana wangu anasema mwenye Nyumba wao anawalipisha shs 1300 kwa Unit na wapo Mbezi Mwisho.
Je ni Sawa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu wana JamiiForums,

Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu yaliyo Jijini Dar es salaam , miji ya Kibaha na Bagamoyo Mkoani pwani. DAWASCO inapokea maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki kwa haraka zaidi.

Ndugu wana jukwaa, DAWASCO inajipambanua kwa kusimamia maadili ,kutoa huduma iliyotukuka pamoja na kuhakikisha huduma ya Maji inapatikana kwa kila mwananchi.

Kama kutatokea kuharibika kwa bomba, wizi wa Maji, umepata huduma isiyo ridhisha au ufanyaji kazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:

1. Kupitia tovuti: DAWASCO - Welcome to new site
2. Kupitia mitandao yetu ya kijamii ikiwa ni pamoja na Twitter|DawascoOfficial..Facebook|DawascoOfficial ...Instagram|DawascoOfficial
3. Kwa mwananchiposta ; Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:

Afisa Mtendaji Mkuu
DAWASCO
P. O. Box 5340
Sokoine Drive
Dar es Salaam, Tanzania.

4. Au kwa kupiga simu huduma kwa wateja dawasco
0800110064 /022 2164800 ( Kupiga namba hizi ni Bure)

DAWASCO HUDUMA KWA WATEJA 0800110064
DAWASCO ILALA 0743 451879
DAWASCO KAWE 0743 451861
DAWASCO KIBAHA 0743 451875
DAWASCO KIMARA 0743 451865
DAWASCO KINONDONI 0743 451863
DAWASCO BAGAMOYO 0743 451877
DAWASCO MAGOMENI 0743 451862
DAWASCO TEGETA 0743 451881
DAWASCO TABATA 0743 451867
DAWASCO TEMEKE 0743 451866

Ofisi yenu ya Tegeta/ Boko iache tabia za kuomba rushwa kwa wateja..

Injinia BEN anafanya kazi nzuri sana lakini vijana wake hasa hawa watatu MAGESA, DAVID na ELIA hawa ni manunda wa kuchukua rushwa kwa wateja..

Yani unakuta katika hao watatu au wote kwa pamoja wanaenda kukata maji kwenye main Gate Valve bila ya reason yoyote halafu mtaa au eneo zima linakosa maji..

Baada ya hapo Wananchi wanaanza kuwapigia simu kulalamika kukatika kwa maji, hawa vijana unakuta wanatoa sababu za uongo huku wakiomba hela kwa wateja kushugulikia tatizo hewa..

Yani hawa MAGESA, DAVID na ELIA ni wakuwaondoa kabisa hapo DAWASCO ya BOKO kwani wao ni kero kubwa kwetu sisi wateja.

Asante.
 
...Ninaomba kuuliza na Mnisamehe sana kama swali hili limeishaulizwa na kujibiwa huko nyuma:
Hivi Unit Moja ya Maji kwa Hapa Darisalama ni Shilingi Ngapi?...Maana kijana wangu anasema mwenye Nyumba wao anawalipisha shs 1300 kwa Unit na wapo Mbezi Mwisho.
Je ni Sawa?

Sent using Jamii Forums mobile app
DAWASCO, sijapata jibu la Swali Langu Zaidi ya Wiki Mbili Sasa. U spesheli wa Uzi huu ni nini??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom