Watu wanatumia upepo na mwanya wanapita nao kiukweli Tz tulikuwa tunapiga hatua watalii mwaka Jana tu Masupertar wa mambele kibao wamekuja Tz wakati Rwanda wanahangaika kumtangaza kwenye matimu kibao makubwa Ulaya kwa kutumia Fedha nyingi sisi nchi yenyewe ilikuwa inajitangaza . Na Vilevile Kasi ya miundombinu tulikuwa tunaenda 4G .
Kwenye michezo na Sanaa ndio kabisa Afrika Mashariki walikuwa hawanusii yaani sisi ndio tukawa tumekamata trend zote mpaka majirani wakawa wanafosi battle.
Mistakes zilizotokea majirani wametumia fursa haswa na Kupiga spana za maana mpaka sasa tumebanwa kila kona tunasubiri kupigwa KO tu mchezo uishe mapema.