Mmh! Ila mbona wanajilimbikizia wao huo ukwasi?Hawa tunaowahukumu usikute tunahukumu bila kuujua ukweli wenyewe. Usikute wapo kwenye gereza lenye kuta zilizowashinda. Dunia imejaa siri nyingi sana.
Mmh! Ila mbona wanajilimbikizia wao huo ukwasi?Hawa tunaowahukumu usikute tunahukumu bila kuujua ukweli wenyewe. Usikute wapo kwenye gereza lenye kuta zilizowashinda. Dunia imejaa siri nyingi sana.
Hilo ni fumbo lingineMmh! Ila mbona wanajilimbikizia wao huo ukwasi?
Wana tumiwa na nani?Kuna uwezekano mkubwa sana Saa 001 hayupo kwenye mpango, pengine anatumika tu. Inawezekana pia AR & KJ wanatumika tu.
Linawezwa vizuri subiri watu wananchi wakichokaKwasasa sioni mtu wa kuliweza kundi la msoga na wahuni. Kama na mabakamabaka wameshindwa tunatakiwa kuzoea tu mpaka Mwenyezi Mungu atakapoamua kuwachukua mmoja mmoja kitu ambacho nacho ni kigumu.
Wewe mpika maandazi na visheti ni mnafiki...Ni kweli ila kwa upande fulani ni wachochezi
KivipWewe mpika maandazi na visheti ni mnafiki...
yoga kama haujafa na maandamano hongera, hebu funguka kidogo how? Did you expect hii kitu ya 29 October 2025? Je hiyo ya 09 December 2025 iko kama hii ya MO29? Je Current CEO anahofia kisasi cha kumuua late CEO???....................................................................
"We are officially cooked"
....................................................................
By who....................................................................
"We are officially cooked"
....................................................................
Hapa una maanisha niniKJ 2026 ni final kwake
Hili swala halipo kwa sababu mtu aliyefeli form four na la saba akaja kuwa rais. Unadhani Psychologie yake itakuwaje ? Yeye anadhani kila mtu anamdharau. Ongezea ni mwanamke. We are officially cooked. Hamjui Magufuli aliwafundisha nini watu. Magufuli alishamwonesha Samia unaweza kufanya unachotaka na usifanywe lolote. Na hili Magu aliwaonyesha Tanzania nzima. Hata Rais atakaekuja kama katiba haitabadilika atafanya mabaya zaidi.Wana tumiwa na nani?
Wananchi hata mkichoka haisaidii kuiokoa hii nchi. Labda mtengeneze factions na muanze kubeba risasi mbali na hapo tutasubiri sana. Maana mwenye kuleta mabadiliko ni rais na rais hawezi kuleta mabadiliko maana atambania rais ajae. Na akimbania rais ajae anaweza kufungwa kwa katiba hio hio mpya. Usione Marekani, Japan, China, Ujerumani n.k zipo hao zilipo. Ukisoma historia za hizo nchi damu ilishamwajika nyingi sana mpaka viongozi wakawa serious.Linawezwa vizuri subiri watu wananchi wakichoka
Ni kweli Bongo kwa maana ya Kariakoo hakuendeki?Current CEO
yoga kuna chochote chema kwa Watanzania baada ya huyu mama kutuumiza?msitegemee kuombwa samahani au kutumka kwa lugha ya kuwapooza kwa yaliyotokea!!
"Mtasahau" ndio msemo mkuu