Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,238
- 90,415
Niliwahi kusema hili humu kuwa Yoga ni timu msogaYoga ni team Msoga & Kizimkazi combinations,
So hawezi kuwa HP,
Unafanya makusudi kumpachika haiba ambayo si yake.
Niliwahi kusema hili humu kuwa Yoga ni timu msogaYoga ni team Msoga & Kizimkazi combinations,
So hawezi kuwa HP,
Unafanya makusudi kumpachika haiba ambayo si yake.
Hakika kabisa,Niliwahi kusema hili humu kuwa Yoga ni timu msoga
Mkuu kunani huko?Haya, lete hizo hadithi zako tuzisome.. imekuwaje tena!?
Mnong'ono imekuwa mingi koridoni.Mkuu kunani huko?
Je MG wamefanya yao au wamefanyiwa?
Tunapenda rumors, vifo na umajununiMnong'ono imekuwa mingi koridoni.
Mbaya sana hii. Walioianzisha wanajulikana.Tunapenda rumors, vifo na umajununi
Tanzania inakua Saddist republic
Minong'ono saa nyingine inaweza ni wanatengeza habari ili kutaka kujua wapi panavujishaMnong'ono imekuwa mingi koridoni.
tuambie hizi tetesi zilizopo ni za kweli au tunapotezewa focus?!😂😂😂😂 Kumekuchaa
Wapo wengine wanaendelea kuua...Aliyeua sana keshapumzika Kwa amani
Wauwaji hawafai popoteWapo wengine wanaendelea kuua
Nayo soon wanaenda kupumzika
Anaewatumia nani mkuu? 😂Wauwaji hawafai popote
Hata hao mnaowatumia kuua wauwaji
Na wataondoana… wanaotuma, wanaotumwa na wanaotumanaAnaewatumia nani mkuu? 😂
Wauwaji wote wataondoka mmoja baada ya mwingine
Acha tutulie tuone mwisho wakeNa wataondoana… wanaotuma, wanaotumwa na wanaotumana
Wote ni haohao tu