MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 19,296
- 39,991
Acha kushauri upumbavu.Niliandika Uzi wangu wa kuwaasa watanzania haswa wakristo kupiga maombi ya vita na kuhakikisha unasindikiza maombi na sadaka unainenea kabisa
Acha kushauri upumbavu.Niliandika Uzi wangu wa kuwaasa watanzania haswa wakristo kupiga maombi ya vita na kuhakikisha unasindikiza maombi na sadaka unainenea kabisa
Hahahah, zimeanza ku flow, subiri ntakuita hapo Kibozone siku si nyingi.Zile pesa ulisema unazo zinazagaa Liverpool ikishinda unapata pesa.
Ndio utajiri wenyewe Boss.
Yaan siku hizi kila mtu kitengo, mbna naogopa LolCoca unacheka nini?![]()




Upo?Coca unacheka nini? 😁
Coca tupo na watu wa system humjYaan siku hizi kila mtu kitengo, mbna naogopa Lol
![]()
Nipo Mkuu,Upo?
Sasa toka zimeanza kuflow Mkuu unazitafuna pekeyako tuHahahah, zimeanza ku flow, subiri ntakuita hapo Kibozone siku si nyingi.
Coca tupo na watu wa system humj
Ohooo!
Tujikite tu kwenye umbea selfika kwetu kule
Ugomvi wa umbea siyo sawa na wa mambo ya system




Bora tuwachokoze akina Boss ledi
Kwa kwelii, tujikite na Umbea wa selfika, haya mambo ya kuchokoza mamlaka, yanaepukika kabisaa. Lol
FureshiNipo Mkuu,
Mambo vipi
Za siku nyingi?Fureshi
Haswaaa sis,Bora tuwachokoze akina Boss ledi
Watatuchamba tu ila hawana virungu
Haya mambo ya kuchokoza waty wa system, wana risasi hawa watatumwaga ubongo![]()




Ahadi tuliyonayo ni ya December 25, 2025Huu Uzi utakuwa hai mpaka pale agano litakapotimia,yes July ndo hii
Kuna wavamizi , ukiwaona hao,tulia kdgNotification zinakuja nyingi, kumbe member wanazogoa tu
Mambo mengi….na uzee nao unakaribia 😂Za siku nyingi?
Umeadimika jukwaani
Haswaaa sis,![]()
Mambo mengi….na uzee nao unakaribia 😂
Kabla hatujaharibu mtiriko wa uzi ngoja tuondoke😂😂😂😂Kuna wavamizi , ukiwaona hao,tulia kdg