Tayana-wog watu wa Arusha wamejibu swali lako.Bus zuri Tahmeed.. very classy. Other infos visit web yao.
Acha tuOh
Kumbe wizo wewe ni first born!
Hongera sana
First born ni Mama mlezi wa familia.
Asante my dearBus zuri Tahmeed.. very classy. Other infos visit web yao.
SASA MUNGU atawasikiliza wapi WA 30,50 au 90 mnamchanganyaYes niona mkuu,according to pastor, Kabugumira ,ndo wanamaliza mfungo wao wa 50 days🙌
Sisi tuna mfungo wa siku 90(3 month) mpk October .
Itafakamika tu,lzm watu waelewe hatucheki na wowote
Kwani na huku pia upo?Nkamu
Watu wa serikali ya Mbinguni hao😆
Usicheze nao
Au sio 😹😹Yes Niko serious,mi ndo nilivyo na ndo maisha yangu..,
Once you're a first born mbona utajua tu kuomba na kufunga Kwa ajili ya familia ni masuala ya kawaida sn.
Tena Nina mwaka sijafast tangu issue ya mama kuuguza mpk kuzika nilipumzika tu.
SS nimerudi rasmi ndo maisha yangu
,wokovu mbona sio km unavyotafsiriwa kikubwa naepuka mijadala yenye mizaha Kwa Mungu,naishi maisha ya toba na kutunza utakatafu baasii
Mengine maisha ya kawaida, Haina maana tusitaniane,tusifurahi jmn 🤣 🙌
Sawa katibu ,mi ndo huyu SS
Tayana TITHII na husemi 😹😹Nimecheka 😅😅😅
Kesho mfungo mpk October
Nilikuwepo kidogo Tajiri😊Kwani na huku pia upo?
Nkamu Tayana kitengo huyo..!! 😹😹Ila Nkamu😆😂
Najikaza nisicheke
Acha kunipa dhambi
Asante kwa kunitabiria.Nilikuwepo kidogo Tajiri😊
YNWA
Atawasikiliza wote wanamuomba, alisema ombeni lolote....SASA MUNGU atawasikiliza wapi WA 30,50 au 90 mnamchanganya
🤣🤣🤣JmnTayana TITHII na husemi 😹😹
Ndio hivyo katibu 😅Au sio 😹😹
Zile pesa ulisema unazo zinazagaa Liverpool ikishinda unapata pesa.Asante kwa kunitabiria.
😆😆😆😆Nkamu Tayana kitengo huyo..!! 😹😹
Kabisa Tahmeed bora zaidBus zuri Tahmeed.. very classy. Other infos visit web yao.