Dark days 17/03/20

Dark days 17/03/20

Ndugu yangu nimezunguka nchi zilizoendelea wanaofaa kujiajiri ni less than 10 percent. Kujiajiri katika first world countries kuna changamoto kubwa kuliko kuajiriwa. Ajira ina faida nyingi kwa nchi kuliko wananchi.
Ukiacha mapungufu ya ndani ya nchi, sababu nyingine kubwa ya kutokua na ajira in Sub-Saharan Africa, ni pamoja na sera za mabeberu na ukoloni mamboleo.

Mabeberu/wakoloni mambo leo, siku hizi wapo wa western countries, eastern European countries, middle eastern countries na Asian countries.
 
Mbombo ngafu 😹😹
Ila tayana ananipa burudani halafu yuko serious 🤣
Yes Niko serious,mi ndo nilivyo na ndo maisha yangu..,
Once you're a first born mbona utajua tu kuomba na kufunga Kwa ajili ya familia ni masuala ya kawaida sn.
Tena Nina mwaka sijafast tangu issue ya mama kuuguza mpk kuzika nilipumzika tu.

SS nimerudi rasmi ndo maisha yangu
,wokovu mbona sio km unavyotafsiriwa kikubwa naepuka mijadala yenye mizaha Kwa Mungu,naishi maisha ya toba na kutunza utakatafu baasii
Mengine maisha ya kawaida, Haina maana tusitaniane,tusifurahi jmn 🤣 🙌
Sawa katibu ,mi ndo huyu SS
 
Oh
Kumbe wizo wewe ni first born!
Hongera sana
First born ni Mama mlezi wa familia.
 
Ewaaaa wewe unaelewa mambo sasa
.sisi hatujui system za Dunia kwanza hatuziwezi.
😅😅

Wizo eti kutoka Arusha mjini mpk namanga how much, na pia namanga to Nairobi Kwa basi luxury how much?
Nyie ndio dola ya mbinguni, Askari jeshi la Mbinguni.
Wapambanaji.

....
Kuhusu nauli labda ngoja tumuulize Depal ,Mjep watakuwa wapo aware nazo.
 
Back
Top Bottom