Don Masanja
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 1,023
- 949
Eeeh Mwenyezi Mungu ujibu sasa kwa moto
HakikaAmen amen, wenye haki wote walindwe, na kuyafukuza majini, ma uganga pamoja na uchawi aliyojifanyia Yezebeli, mwanamke mwovu,
Yesssila wewe
yoga hii pambio nzuri na lina beti tamtam
huu wimbo bora kuwahi kutokea hata za yule bosi wcB hazioni ndani.
come back yoga , My Sons Legacy RAISI AJAYE , Date20210317 , luckyline na wengine.
Nakuelewa sana unaposema vya rohoni ...Naelewa
Ila jua hii ni vita ya kanisa Wala sio Gwajima, walio rohoni wanaelewa ,ht mnayodhani makanisa makubwa tusipoomba yatafungiwa
Hawa wapuuzi wanatuchukulia poa sn ,but not this tine
Niliandika Uzi wangu wa kuwaasa watanzania haswa wakristo kupiga maombi ya vita na kuhakikisha unasindikiza maombi na sadaka unainenea kabisaHii ni vita ya kanisa
Be sensitive in spirit
Hata mimi huo nalia na huyu generali na si mtu mwingine yeyote! Huyu generali ndie alietufikisha hapa tulipo leo..Twende mbele turudi nyuma,
Venance Mabeyo anajisikiaje kuruhusu huyu mtu kukaa kwenye kiti?
Waliyempa kuongoza Maskani ameongoza inavyostahili?
TUmeenda mbele hatua gapi au tumerudi nyuma zaidi?
Venance Mabeyo anapaswa kuja kuomba msamaha watanzania.
Haukumsikia huyo aliebebwa na katiba hiyo hiyo akiita katiba iliyombeba kuwa ni "KAKIJITABU?"Katiba inasemaje mkuu?au angevunja katiba?
Hakika kabisa pamoja na Venance Mibeyo.Hata mimi huo nalia na huyu generali na si mtu mwingine yeyote! Huyu generali ndie alietufikisha hapa tulipo leo..
AminaNiliandika Uzi wangu wa kuwaasa watanzania haswa wakristo kupiga maombi ya vita na kuhakikisha unasindikiza maombi na sadaka unainenea kabisa
Fungua CODE hiyoAliekalia kuti kavu anamcheka anaening'inia kwenye tawi jembamba.
Yoga huenda ni Bi Kurumbembe la ZT au ni team MGYoga mwaga moto.
AminaHabari ndo hiyo unauliza tena boss
Unakumbuka ht Gwajima jpil alisema ,vaeni silaha zote , efeso 6: 10
.hapo ni kutoa upanga wa Bwana hautarudi alani mpk mtu aanguke
Ombea wote wenye haki hii nchi walindwe
SadakaNiliandika Uzi wangu wa kuwaasa watanzania haswa wakristo kupiga maombi ya vita na kuhakikisha unasindikiza maombi na sadaka unainenea kabisa