Dark days 17/03/20

Dark days 17/03/20

Naelewa
Ila jua hii ni vita ya kanisa Wala sio Gwajima, walio rohoni wanaelewa ,ht mnayodhani makanisa makubwa tusipoomba yatafungiwa
Hawa wapuuzi wanatuchukulia poa sn ,but not this tine
Nimeona code kwa yule msaliti wa Zambarau akimshambulia JG kwa sababu tu ana bendera ya Wana wa Yuda, kaingiza udini
 
Amen amen, Maombi ya Vita au ya aina ipi?
Maana nimekuwa nikimwombea, JG, Charles Kitime na wenye kupenda Uzalendo, ukweli na HAKI ya ki - Mungu kwenye taifa hili, Mungu awatetee, je ninadilishe maombi
Habari ndo hiyo unauliza tena boss
Unakumbuka ht Gwajima jpil alisema ,vaeni silaha zote , efeso 6: 10
.hapo ni kutoa upanga wa Bwana hautarudi alani mpk mtu aanguke

Ombea wote wenye haki hii nchi walindwe
 
Habari ndo hiyo unauliza tena boss
Unakumbuka ht Gwajima jpil alisema ,vaeni silaha zote , efeso 6: 10
.hapo ni kutoa upanga wa Bwana hautarudi alani mpk mtu aanguke

Ombea wote wenye haki hii nchi walindwe
Amen amen, wenye haki wote walindwe, na kuyafukuza majini, ma uganga pamoja na uchawi aliyojifanyia Yezebeli, mwanamke mwovu,
 
Back
Top Bottom