Dark days 17/03/20

Dark days 17/03/20

Kwa hivi sasa Wanaotekwa ni wanasiasa na wanaharakati na raia wa kawaida,

Serikali na vyombo vyake vya dola wasipolithibiti hili,

Mwl Nyerere aliwahi kusema "ukila nyama ya binadamu hutaacha"

Wakimalizana na makundi hayo ☝️☝️ watahamia kuteka wafanyabishara au Member wa familia wa wafanyabishara na kudai kikombozi ili kuachiwa.

Kikwete amshauri Samia kukomesha uteakaji nchini mwetu.
 
Twende mbele turudi nyuma,
Venance Mabeyo anajisikiaje kuruhu huyu mtu kukaa kwenye kiti?

Waliyempa kuongoza Maskani ameongozana inavyostahili?
Venance Mabeyo anapaswa kuja kuomba msamaha watanzania.

Hana sababu ya kuomba Msamaha, Alie tukosea ni JPM aliemchagua kama mgombea mwenza panoja na CCM yake.

Otherwise, Mobeyo alisimamia katiba, kwasababu hata waliotaka kumpoka madaraka bibie walikua na maslai yao binafsi.
 
Back
Top Bottom