The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 4,700
- 10,011
Yoga naona bado anaendelea kupeta tuu
Anapiga very good speculation meddling the game theoryYoga naona bado anaendelea kupeta tuu
Umetisha sana mdaunilisema Toka nyuma kidogo hapo they are to be deleted,
Even their infrastructures and financial sources are going to be taken, other leaders are going to be locked, unless they comply,
Fail to do so, it's the end
Hakika nimekuamininilisema Toka nyuma kidogo hapo they are to be deleted,
Even their infrastructures and financial sources are going to be taken, other leaders are going to be locked, unless they comply,
Fail to do so, it's the end
huyo tumia akili machapisho yake mengi hayajatimia na yana miaka zaidi ya mitatu sasa hii inaonesha wakati wao wanapanga yao upande wa pili wa mahasimu nao wanapangua yaani imekuwa kama vita ya atakayewahi ndio atashinda pambano..mfano ile ya mstaafu asiyetaka kustaafu,kitambaa cheusi kwenye bunge,FDRL hadi sasa tunaona wakusudiwa wanaponda raha na kufanya kufuru bila wasi wasi..na majuzi alileta uzi wa Brother..huyo tumia akili naanza kumuona miyeyusho tu analeta uzi tangu 2022- 23 hadi leo kimya wahuni wanazidi kufisadi taifa sisi tunabaki na matumaini kumbe wahuni washapunch zamani na washapindua meza..eti kina tumia akili wanapanga mipango kisha wanakuja kuanika humu alafu target wawe wametulia tu kuzembe pasipo kujaribu kuuchana mkeka.!
Sawa sawahuyo tumia akili machapisho yake mengi hayajatimia na yana miaka zaidi ya mitatu sasa hii inaonesha wakati wao wanapanga yao upande wa pili wa mahasimu nao wanapangua yaani imekuwa kama vita ya atakayewahi ndio atashinda pambano..mfano ile ya mstaafu asiyetaka kustaafu,kitambaa cheusi kwenye bunge,FDRL hadi sasa tunaona wakusudiwa wanaponda raha na kufanya kufuru bila wasi wasi..na majuzi alileta uzi wa Brother..huyo tumia akili naanza kumuona miyeyusho tu analeta uzi tangu 2022- 23 hadi leo kimya wahuni wanazidi kufisadi taifa sisi tunabaki na matumaini kumbe wahuni washapunch zamani na washapindua meza..eti kina tumia akili wanapanga mipango kisha wanakuja kuanika humu alafu target wawe wametulia tu kuzembe pasipo kujaribu kuuchana mkeka.!
Mule mule jamaa yangu.nilisema Toka nyuma kidogo hapo they are to be deleted,
Even their infrastructures and financial sources are going to be taken, other leaders are going to be locked, unless they comply,
Fail to do so, it's the end
Tupe hopes atleastHellow
Hellow
Whats there in the pot, I guess kete zinasukumwa 24/7, hakuna kulalaHellow
Own goalHellow
Uponye moyo dearestHellow
Tupe hata kidogp maana kuna nyuzi humu ndani zinasema mwezi wa 7 kuna jambo zito litatokeaHellow
Hellow !am here!where are you!!?Hellow
Kuna uzi umewekwa tayari. July july hahahahaha