G
guest-1790917349
Guest
Mbona mambo Bado subiri bunge livunjwe hutaaminiAisee,msajili ametengua uteuzi wa viongozi wa CDM na amekiondolea ruzuku pia 😆
Hata hawa wanaoonekana wapinzani Kwa ss Wala hawatakua na issue, upinzani wenyewe utatoka ndani
Just seat and watch....
Note, this time hii nchi mambo hayatakua km watu walivyozoea, turashuhudia mengi