Dark days 17/03/20

Dark days 17/03/20

nilisema Toka nyuma kidogo hapo they are to be deleted,
Even their infrastructures and financial sources are going to be taken, other leaders are going to be locked, unless they comply,

Fail to do so, it's the end
Wameshaanza na ruzuku. Ila hapa watafanya vikundi vya kigaidi vitokee, kuiua chadema haitakuwa rahisi kama wanavyofikiria.
 
nilisema Toka nyuma kidogo hapo they are to be deleted,
Even their infrastructures and financial sources are going to be taken, other leaders are going to be locked, unless they comply,

Fail to do so, it'
nilisema Toka nyuma kidogo hapo they are to be deleted,
Even their infrastructures and financial sources are going to be taken, other leaders are going to be locked, unless they comply,

Fail to do so, it's the end
Wa comply na nini ? Siasa la ulaghai za kuamriwa na dola au Mwenyekiti wa CCM?
 
Huyu Yoga anawalisha upepo tu ID za kuaminika humu zinajulikana zinaleta taarifa moto moto na zinatokea mfano Britannica, huyu Yoga ni mpiga ramli tu na umbea
Mmbea baba ako..anzisha uzi wako kasa mkubwa wewe
 
1:yoga , kwa jicho la tai ,yule askofu anaonekana katumwa na SSIT, je kuna plan B inayoendelea kuhusu kizimkazi.

2:yoga , Kwa jicho la tai, askofu anaonekana kumlenga mtoto pendwa (mkuu wa mkoa) kama mhusika mkuu wa utekaji.

3:yoga , hii kolabo kutoka kampuni jirani imekuja kama ajali au imepangwa??

4:yoga , kwa jicho la tai, inaonekana kampuni kama inataka kummwaga bibi kizimkazi kwa kumtengenezea ajali ya kisiasa, ni kweli?? Itawezekana kabla ya uchaguzi??

5:yoga , kwa jicho la tai, kunaonekana kuna SSIT ndani ya SSIT, vita yao kubwa inaisadia kampuni???
 
Read step two very carefully 🙏 and pray for kijana msema sanas company zaid ya hao umewamention

I repeat, yaani narudia Kwa kiswahili ili nieleweke

And remember these words na angalia what is coming

👉"All main leaders and important members of kijana msema sana company are going to be locked"

👉They think most of them must be dead! Especially kijana and his vice But since the 🌎 is watching them so they are looking for a friendly way 🙆 it's up to them

👉All assets of kijanasema sana's company soon will be seized

Note: for now they act as if they are united but soon someone is their target 🎯 just be patient and enjoy the game
Aisee,msajili ametengua uteuzi wa viongozi wa CDM na amekiondolea ruzuku pia 😆
 
Kuna baadhi ya mambo yanatokea nadhani mengine hayana baraka zake kabisa!niliwahi soma Mahalia kuhusu marehem Mzee kibao kwamba maelekezo yalikua wamhoji TU wasi messup na uhai wake !lakini wahuni wakaharibu nadhani hata yeye Kuna baadhi anaumia kuona yanafanyika kinyume!!

Hasta hayati jpm alihoji kuhusu utekwaji wa Mo dewji,inaonekana usipofuata maelekezo ya wale jamaa lazima utatengenezewa makosa Ili wapate uhalali wa mission Yao wanayoitaka!!

MI NAAMINI HAKUNA NAMBA MOJA ANAETEKA WANANCHI KARIBU NA WAKATI WA UCHAGUZI IKIWA ANATAKA KURA TOKA KWA WANANCHI HAO HAO!!

NAWAZA NA KUWAZUA!
Nimeelewa kitu hapa ✔️
 
Back
Top Bottom