Dark days 17/03/20

Dark days 17/03/20

Ccm imelea wajinga that's yule dogo wanamdisi wenyewe ,yule wa comedy, hajui mipaka, shida unamkaribisha ikulu huyo Steve, unategemea nini? Machawa Mungu ayachukue mapema taifa lipone
Sijui kwa nini mama anapenda kukutana na watu wa Comedy kuzidi wazalishaji na wanaotengeza ajira Mfano mdogo wakandarasi private sekta wafanyabiashara wakubwa kukaa nao kujadili mstakabali wa nchi unakaa na wasanii watu Comedy kweli nchi haiwezi kuendelea kwa kukaa na Comedy
 
Siku zote binadamu hupenda kukaa na mtu anayelingana au wako karibu kiakili ili waweze kuelewana
 
20250520_162354.jpg
 
Matangazo ya covid yameanza. Kuwa mdudu yupo na anafanya yake. Hii mikusanyiko iaweza anza kutembea na watu walioko kwenye orodha.
Mkuu kuna ukweli kwamba COVID ipo au ni ni taarifa ya kuzuia mikusanyiko ya kisiasa kipindi hiki na kesi ya Lissu isiwe na watu wengi?

Na kama si kweli na waliotoa tangazo wana nia zao za kisiasa hawaoni kwamba watalii na wawekezaji wengi wata cancel safari zao za kuja nchini, kiuchumi ni hasara?

Upi uthibitisho unaoonyesha kwamba kuna COVID kipindi hiki?
 
Swali la kizushi ? Kwann Waislamu ktk misikiti yao husikii neno UTABIRI wala MAONO /UFUNUO km wachungaji wa kilokole ? Maana TABIRI ZOTE ni zinahusisha Wakristo na Biblia...sijaona mtu akisema mstari fulani km Quran umesema hivi km utabiri au sheikh kaoneshwa ya mbele ?
Acha uongo. Kwani Mzee Yahya alikuwa Mkristo?
 
Back
Top Bottom