Makongodcrue
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,864
- 2,566
Should we expect any suprises in the near future?Kama uko online Niulize chochote leo!!
Should we expect any suprises in the near future?Kama uko online Niulize chochote leo!!
Kuna bwana ameleta waraka wa kumsihi bro ake asiondoke kwanza, kwamba muda ukifika atapewa majukumu ya kusimamia mabadiliko makubwa kwenye kampuni ikiwemo ya kitabu.Kama uko online Niulize chochote leo!!
Who is the most influential politician in Tanzania 2025/2056 who can change the Tanzanian politics ideology!Kama uko online Niulize chochote leo!!
Born town ata geuka mshindi wa mwisho au wote wata kanyagwa na wingu zito?Kama uko online Niulize chochote leo!!
Asante kwa kutupa fursa ya kuuliza Nina maswali matatu.Kama uko online Niulize chochote leo!!
Maswali ya nyongezaKama uko online Niulize chochote leo!!
So ni kweli kuwa Gwajiboy ndio atagombea kwa tiketi ya Sisiem?Kama uko online Niulize chochote leo!!
😄😄 Nope!! Kina choendelea is to know nani amemfeed Taarifa, it means there is a snitch in the white houseMaswali ya nyongeza
1. Baada ya Mzee wa Kawe kuruka hewani, kuna fununu kuwa kikao cha dharura kilifanyika ndani ya kampuni. Tutegemee nini baada ya kikao hicho?
2. Kuna Documents za wazito zimezagaa zagaa mitandaoni, X imefungiwa, na saivi Insta nayo bila VPN husomi zile files, kuna nn nyuma ya hizi moves?
Kuna ka Uzi ka Brother kapo hewani tangu alhamis!kwamba atasimamia upatikanaji wa katiba ya warioba,unahisi Nini kipo nyuma ya pazia!!?Yep!
Nasubiria jibu la hili swali!!Kuna bwana ameleta waraka wa kumsihi bro ake asiondoke kwanza, kwamba muda ukifika atapewa majukumu ya kusimamia mabadiliko makubwa kwenye kampuni ikiwemo ya kitabu.
Hili limekaaje kitaalam?
Umetisha Mkuu.jamaniii asichafuliwe
Tutegemee reforms zozote zitakazo wafanya CDMA kuingia kwenye uchaguzi?
What going on with TAL?