Dark days 17/03/20

Dark days 17/03/20

Sema nini mtu wa Mungu Tayana-wog

Mimi mtu akiwa ni mwenye kutabiri tabiri, kama amewahi kutabiri matukio mawili au matatu nyuma yake na yakatimia hapo naweza kumwamini na kumkubali.

Je huyo Edmund amewahi kutabiri kipi na kipi na kikatimia?
Natanguliza shukurani.
Yes nikikwambia mfuatilie manaake nimejiridhisha, mi mtt wa The late Tbjoshua (😁 kwenye hili eneo)so sisikilizi Kila mtu ,ht km nilisikiliza km chai najua hapa chai 😂au km wale wakufuata upepo wenzao wamesema nn najua tu ...
Ila Mungu anao watu aisee Tena Hawana ht majina ila wako vzr sn.

Edmond nimemfuatilia last yr hata haya yaliyotokea na vurugu zote alisema ilikuwa last yr Dec km sikosei.

Ila huyu nimemfahamu recently 👇

View: https://youtu.be/VOSCbWeVf_w?si=wejWWYk7XXc1mPQC
 
"Nyota ing'aayo kutokea brazili,ikazidi mwanga na kuwa kama jua na kuangaza" huyo ni Emmanuel nchimbi!!
 
Swali la kizushi ? Kwann Waislamu ktk misikiti yao husikii neno UTABIRI wala MAONO /UFUNUO km wachungaji wa kilokole ? Maana TABIRI ZOTE ni zinahusisha Wakristo na Biblia...sijaona mtu akisema mstari fulani km Quran umesema hivi km utabiri au sheikh kaoneshwa ya mbele ?
 
Hapana yoga !not fine at all!!

Father kitima yupo Kwa hospital,even chuma in his regime no one dare touching those hollymen in their palace!!

Recently we burried kisiwa whitehouse spokesman!!

And some rumors the vice chairman of our kijani is seriously hospitalized in that region where many of them dont make it when hospitalized there!!!

Safe no more in our company!! maybe if you overlook those instincts!!
Read step two very carefully 🙏 and pray for kijana msema sanas company zaid ya hao umewamention

I repeat, yaani narudia Kwa kiswahili ili nieleweke

And remember these words na angalia what is coming

👉"All main leaders and important members of kijana msema sana company are going to be locked"

👉They think most of them must be dead! Especially kijana and his vice But since the 🌎 is watching them so they are looking for a friendly way 🙆 it's up to them

👉All assets of kijanasema sana's company soon will be seized

Note: for now they act as if they are united but soon someone is their target 🎯 just be patient and enjoy the game
 
Mmh si mchezo..
 
Sema nini mtu wa Mungu Tayana-wog

Mimi mtu akiwa ni mwenye kutabiri tabiri, kama amewahi kutabiri matukio mawili au matatu nyuma yake na yakatimia hapo naweza kumwamini na kumkubali.

Je huyo Edmund amewahi kutabiri kipi na kipi na kikatimia?
Natanguliza shukurani.
Nenda tu YouTube mpendwa hahahaaa uone unabii ulivyotimilika
 
Yes nikikwambia mfuatilie manaake nimejiridhisha, mi mtt wa The late Tbjoshua (😁 kwenye hili eneo)so sisikilizi Kila mtu ,ht km nilisikiliza km chai najua hapa chai 😂au km wale wakufuata upepo wenzao wamesema nn najua tu ...
Ila Mungu anao watu aisee Tena Hawana ht majina ila wako vzr sn.

Edmond nimemfuatilia last yr hata haya yaliyotokea na vurugu zote alisema ilikuwa last yr Dec km sikosei.

Ila huyu nimemfahamu recently 👇

View: https://youtu.be/VOSCbWeVf_w?si=wejWWYk7XXc1mPQC

Mimi mpaka kanisani nimehudhuria na nipo kwenye group lake la WhatsApp hakika Mungu anamtumia sana mafuta Yazidi kumiminika juu yake my prophet
 
Yes nikikwambia mfuatilie manaake nimejiridhisha, mi mtt wa The late Tbjoshua (😁 kwenye hili eneo)so sisikilizi Kila mtu ,ht km nilisikiliza km chai najua hapa chai 😂au km wale wakufuata upepo wenzao wamesema nn najua tu ...
Ila Mungu anao watu aisee Tena Hawana ht majina ila wako vzr sn.

Edmond nimemfuatilia last yr hata haya yaliyotokea na vurugu zote alisema ilikuwa last yr Dec km sikosei.

Ila huyu nimemfahamu recently 👇

View: https://youtu.be/VOSCbWeVf_w?si=wejWWYk7XXc1mPQC

Sawa mkuu kwa neno lako hawa wawili nitaanza kuwafuatilia.
Vipi una maoni gani kwa yule mwingine mwenye kutumia jina la Nabii wa Ishara Tanzania?
 
Read step two very carefully 🙏 and pray for kijana msema sanas company zaid ya hao umewamention

I repeat, yaani narudia Kwa kiswahili ili nieleweke

And remember these words na angalia what is coming

👉"All main leaders and important members of kijana msema sana company are going to be locked"

👉They think most of them must be dead! Especially kijana and his vice But since the 🌎 is watching them so they are looking for a friendly way 🙆 it's up to them

👉All assets of kijanasema sana's company soon will be seized

Note: for now they act as if they are united but soon someone is their target 🎯 just be patient and enjoy the game
yoga,
1. nani aliyemkalisha kwenye kiti Kijanasema sana?

2. Ni nani aliyempa msukumo na nguvu NRNE?

3.Lipi lengo/Malengo ya kumpa hayo mambo?

4. Je aliyempa jukumu hilo ana shindwa nini kumtetea na kumlinda pamoja na wenzake?
Je kwenye dunia ya sasa ni kosa kudai Mkataba kwa ajili ya kuiendesha kampuni, kudai kundi huru la kuendesha game na kadhi wa mchenzo hadi mwenye kudai astahili hukumu ya Malaika wa Middle East atoe...?
5. Hivi hawa jicho la kampuni (kk) wana faida gani kwa kampuni, je kwa jicho la 6 wanashindwa kuona kuwa huyu Shababimsema sana anafaa tumlinde na kumtumia ili kufanikisha kupata mkataba kwa ajili ya kampuni yetu na watoto wetu hata hadi tena 2075?

6. Kk inahitaji kuvunjwa vunjwa na kuundwa nyingine.
 
Note: for now they act as if they are united but soon someone is their target 🎯 just be patient and enjoy the game
Aliye mwelewa Yoga hapa anisaidie kuvunja code,

Tafsiri isiyo rasmi,.
"Nb: kwa sasa wanaigiza wana umoja lakini hivi karibuni mmoja wao ni mkusudiwa"
Akina nani hao wanaoigiza umoja?
 
Kijani FC,dhidi ya kijana msema sana!!lakini target yao ipo kijani FC humo humo!yaani inaonekana move yao dhidi ya kijana msema sana ni comfort zone dhidi ya target yao Ili asishtuke waje ghafla bin vuuu done and dusted!!

Nafikiria tu!
 
Read step two very carefully 🙏 and pray for kijana msema sanas company zaid ya hao umewamention

I repeat, yaani narudia Kwa kiswahili ili nieleweke

And remember these words na angalia what is coming

👉"All main leaders and important members of kijana msema sana company are going to be locked"

👉They think most of them must be dead! Especially kijana and his vice But since the 🌎 is watching them so they are looking for a friendly way 🙆 it's up to them

👉All assets of kijanasema sana's company soon will be seized

Note: for now they act as if they are united but soon someone is their target 🎯 just be patient and enjoy the game
Aiseh"they act as they united but someone is their tagert" I can see!!
 
Swali la kizushi ? Kwann Waislamu ktk misikiti yao husikii neno UTABIRI wala MAONO /UFUNUO km wachungaji wa kilokole ? Maana TABIRI ZOTE ni zinahusisha Wakristo na Biblia...sijaona mtu akisema mstari fulani km Quran umesema hivi km utabiri au sheikh kaoneshwa ya mbele ?
Mi sijui Quran nisiwe muongo ,zaidi ya kusikia humu sijui chochote, lkn walikuwa na shehe yahya mtabiri East Africa au umesahau?🙄na mwanae wa kiume ndo karithi...ya kwao ni utabiri

Manabii Mungu aliwtumia sn Agano la kale ukisoma vzr ,na hata SS Mungu Bado anatumia sn watu wake, kwenye ukristo unabii ni ofisi! Yaani Yesu kabla hajaondoka aliacha huduma 5, wachungaji,mitume,wainjilisti,waalimu,manabii! Nadhani unaijua hii.so aihusiani na ulokole ni huduma km hizo nyingine hapo.
EFeso 4:11-14

Shida ni kuwa matapeli pia wengi
 
Ahsante kwa ufafanuzi
 
Kwenye matapeli hapo chacha,

uwe mtu uliyeshiba neno, ujue mchele upi pumba zipi,
Fedha Fake ipi na Og ipi laa sivyo unaingia chaka.
 
Back
Top Bottom