yoga,
1. nani aliyemkalisha kwenye kiti Kijanasema sana?
2. Ni nani aliyempa msukumo na nguvu NRNE?
3.Lipi lengo/Malengo ya kumpa hayo mambo?
4. Je aliyempa jukumu hilo ana shindwa nini kumtetea na kumlinda pamoja na wenzake?
Je kwenye dunia ya sasa ni kosa kudai Mkataba kwa ajili ya kuiendesha kampuni, kudai kundi huru la kuendesha game na kadhi wa mchenzo hadi mwenye kudai astahili hukumu ya Malaika wa Middle East atoe...?
5. Hivi hawa jicho la kampuni (kk) wana faida gani kwa kampuni, je kwa jicho la 6 wanashindwa kuona kuwa huyu Shababimsema sana anafaa tumlinde na kumtumia ili kufanikisha kupata mkataba kwa ajili ya kampuni yetu na watoto wetu hata hadi tena 2075?
6. Kk inahitaji kuvunjwa vunjwa na kuundwa nyingine.