Psiteshio72
JF-Expert Member
- Nov 13, 2016
- 634
- 442
- Thread starter
- #581
KwanzaSimu yang samsang note 2 inaandika unfortunalty andoid and apps,baadh ya apk apps na official apps za playstore
Hakikisha divice yako inaendana na app uipakuayo
Yaani version ya simu na app
Pili Ram tazam kama in a nafas ya kutosha kuebdesha app nyingi
Tatu storage hakikisha Una nafasi ya kutosha kwa memory card yako ama internal