Darasa la Android: Uliza matatizo yote duniani ya android, majibu 100%

Mkuu MI napenda kutumia badoo ila kunasehemu ya malipo nashindwa kuendelea Aina ya malipo hayatumik Africa, sanifanyeje ila unisamehe Niko nje y'a mada
 
Natumia tecno L9+ hii simu ina halt then ia restart muda wowote inaojiskia. Na kuna mda inaweza kufreez labda unaanzika sms hasa nikiwa whatsap. Ni tatizo gani hili na solution yake ni ipi. Nlijaribu kurestore several times nikijua nitasaidia lakini wapi. Mm ni mtaalam wa IT.
 
Wakuu,habari zenu wataalamu.

Naombeni msaada wa ushauri wa simu yangu, ni tecno W3 LTE, nimenunua kwa mtu,nikaamua kuireset, kwasababu ilikuwa ina pin lock,baada ya hapo. Nikaiwasha kwenye kuweka set up nikakuta kitu kinaitwa google account verification,kuanzia hapa nikawa sina ujanja wa kuendelea wa kutumia simu.

Nimejaribu kuangalia Youtube, na kwa kutumia SP FLASH TOOL na MIRACLE BOX 2.29A, lakini vyote hivi hamna mafanikio yeyote.

Msaada wenu wakuu,hela imeenda,na kuwa kama nimeiba simu sasa.
 
Simu yang samsang note 2 inaandika unfortunalty andoid and apps,baadh ya apk apps na official apps za playstore
 
Natumia tecno L9+ hii simu ina halt then ia restart muda wowote inaojiskia. Na kuna mda inaweza kufreez labda unaanzika sms hasa nikiwa whatsap. Ni tatizo gani hili na solution yake ni ipi. Nlijaribu kurestore several times nikijua nitasaidia lakini wapi. Mm ni mtaalam wa IT.
Techno tumewashindwa
 
Wakuu,habari zenu wataalamu.

Naombeni msaada wa ushauri wa simu yangu, ni tecno W3 LTE, nimenunua kwa mtu,nikaamua kuireset, kwasababu ilikuwa ina pin lock,baada ya hapo. Nikaiwasha kwenye kuweka set up nikakuta kitu kinaitwa google account verification,kuanzia hapa nikawa sina ujanja wa kuendelea wa kutumia simu.

Nimejaribu kuangalia Youtube, na kwa kutumia SP FLASH TOOL na MIRACLE BOX 2.29A, lakini vyote hivi hamna mafanikio yeyote.

Msaada wenu wakuu,hela imeenda,na kuwa kama nimeiba simu sasa.
Nipigie au njooo ofisini kwangu
Dar es salaam kariakoo
 
Back
Top Bottom