Darasa la Android: Uliza matatizo yote duniani ya android, majibu 100%

Mimi nilikuwa naomba kuelekezwa jinsi ya kujua imei ya sim yangu iliyopotea!!!
cc nyenyere
cc chief-mkwawa
 
Ukiingia tu uliza, swali lako, pia utajibiwa kwa sekunde pia weka ujuzi wako
Pili kuna matatizo ambayo sitaweza kusolve kutokana na huduma hizo hulipiwa
Mfano: Kuzuia matangazo-huduma hi unawalipa adsblock sasa sitaweza kusolve mfano wa matatizo kama hayo.

Huduma hizo na nyinginezo zifananazo na hizo sitazitoa humu bali private kupitia njia ya simu au WhatsApp kutoka na sheria za Jf. Kwa msaada zaidi nipigie au sms kawaida 0753093869

Lakin kwa mambo ambayo nitakuelekeza na usielewe kutokana na kukosa picha, video, audio humu JF utanitext WhatsApp kwa number 0621072026.
Mkuu kuna wakati inakata ghafa inaniandikia hivi
Screenshot_2017-12-21-18-47-06.png
hua ina maana gani
 
Ukiingia tu uliza, swali lako, pia utajibiwa kwa sekunde pia weka ujuzi wako
Pili kuna matatizo ambayo sitaweza kusolve kutokana na huduma hizo hulipiwa
Mfano: Kuzuia matangazo-huduma hi unawalipa adsblock sasa sitaweza kusolve mfano wa matatizo kama hayo.

Huduma hizo na nyinginezo zifananazo na hizo sitazitoa humu bali private kupitia njia ya simu au WhatsApp kutoka na sheria za Jf. Kwa msaada zaidi nipigie au sms kawaida 0753093869

Lakin kwa mambo ambayo nitakuelekeza na usielewe kutokana na kukosa picha, video, audio humu JF utanitext WhatsApp kwa number 0621072026.
Msaada mkuu cm wakati mwingine inaniandikia
Screenshot_2017-12-21-18-17-36.png
tatizo ni nini
 
Ndio mkuu
Hongera, pia IPO moja ya kupiga screen shot kwa kutumia kiganja cha mkono wako, tembelea kwemye setting yako itafute utaona maelezo yake maana nishasahau kidgo koz situmiii Samsung kwa sasa nimewacha toka mwez Wa 2 kwahiyo tafuta utaiona hiyo kitu.
 
Back
Top Bottom