Darasa la Android: Uliza matatizo yote duniani ya android, majibu 100%

Darasa la Android: Uliza matatizo yote duniani ya android, majibu 100%

Ukiingia tu uliza, swali lako, pia utajibiwa kwa sekunde pia weka ujuzi wako
Pili kuna matatizo ambayo sitaweza kusolve kutokana na huduma hizo hulipiwa
Mfano: Kuzuia matangazo-huduma hi unawalipa adsblock sasa sitaweza kusolve mfano wa matatizo kama hayo.

Huduma hizo na nyinginezo zifananazo na hizo sitazitoa humu bali private kupitia njia ya simu au WhatsApp kutoka na sheria za Jf. Kwa msaada zaidi nipigie au sms kawaida 0753093869

Lakin kwa mambo ambayo nitakuelekeza na usielewe kutokana na kukosa picha, video, audio humu JF utanitext WhatsApp kwa number 0621072026.
Naomba msaada hapo enter iko wapi hapo
f60168d54fdbfde69f6393c758824184.jpg
 
Nina Tecno M7 inanambia "Unfortunately contacts has stopped". Siwezi kupiga wala kusevu namba mpya. Nalitatuaje tatizo hili?
 
bado maswali machache hayajajibiwa....sasa swali langu ni hili hapa

nina android box t95z inaishia kltk boot tuu, ni aje naweza iridisha ktk hali ya kawaida?
 
Kwa mfano nikiandika 1 2 3 ije kwa mfumo huu

1

2

3
.hiv yaan kwa upande wa sms upo ila kwenye watsap ndio siioni mkuu
Okay nimekusomaaaaaaa.

Ingia katika watsap yako angalia upande Wa juu kuliani kuna vitojo vitatu bonyeza hivo kuna maneno yatajitokeza bonyeza neno SETTING baada ya kubonyeza hilo yatakuja maneno mengine bonyeza neno CHATS pia kuna maneno mengine yatakuja kuna neno ENTER IS SEND mbele yake kuna kibox kina right √ katika hicho kibox chako bonyeza hapo na uondoe hiyo right √.

Nahisi umeelewa. Suali lengine,
 
Nimenunua simu kwa mtu sasa naihitaji ku backup & reset ili irudi kwenye mpangilio mpya sasa kila nilitaka kufanya hivyo inaniambia niweke email iliyo kuwa inatumika ktk hiyo simu na nimemuuliza huyo jama haikumbuki maana alifunguliwa na mtu naomba nitumie njia gani iweze kuwa sawa
 
Ingia YouTube search how to by-pass email verification after hard reset
 
Okay nimekusomaaaaaaa.

Ingia katika watsap yako angalia upande Wa juu kuliani kuna vitojo vitatu bonyeza hivo kuna maneno yatajitokeza bonyeza neno SETTING baada ya kubonyeza hilo yatakuja maneno mengine bonyeza neno CHATS pia kuna maneno mengine yatakuja kuna neno ENTER IS SEND mbele yake kuna kibox kina right √ katika hicho kibox chako bonyeza hapo na uondoe hiyo right √.

Nahisi umeelewa. Suali lengine,
Shukrani sana mkuu nimefanikiwa hilo
 
Nina High copy ya Samsung Galax J7 pro inahitaji kufalsh jamaa wamesema files zake hawana u.anisaidiaje halo
 
Nawezaje kuongeza ukubwa wa sms kwenye simu yangu maana nikiweka maneno kidogo tu inachange to MMS na simu ni galaxy note 5
 
Naitaji kioo cha huawei
how much does it cost?
 
Samsung yang n note5 sprint nmekosea kitu ikafuta imei na hailandish netwk poa inadai invalid sim card
 
Samsung yang n note5 sprint nmekosea kitu ikafuta imei na hailandish netwk poa inadai invalid sim card
kama ni sprint na inaleta invalid means unatakiwa ku unlock ur device... samsung yenye blacklisted imei huwa ni emergency calls na kama imecorrupt efs with unknown baseband huwa ni no service na hakunaga invalid, invalid sim means unaccepted sim since the phone accepts sprint simcard... I can unlock it bila kuja nilipo yaan unastay ulipo, ntakachohitaji ni wewe kuwa na pc tu kisha unipe access to ur pc thru anydesk/tv/Uv nk...kama uko ready to pay just contact me
 
Back
Top Bottom