DAR WING -wa WHITE PARTY

DAR WING -wa WHITE PARTY

Hii Kitu ingewekwa sticky mpaka baada ya tukio, na update ziwe zinawekwa kwa kadiri ya ma-organizer wanavyopata vya kutujuza.....
Ntaconfirm ushiriki wangu wapendwa, hichi ni kitu cha maana sana asee.
 
hahahhah Smile acha utan kwa dada bana kuwa siriaz basi?? halafu naomba radhi kwa kumsahau figganigga mdogo wangu wa ukweli na Nicas Mtei(ila huyu sijui kaama wing) ngoja tuone.

mi ntakuwepo. hela wewe ndo utakusanya? mi ntakuja na valuu zangu tumboni. naomba venue iwe pale triniti pub nyuma ya oysterbay primary school. napapenda coz njaa ikiuma au joto likizi unadondoka pale coco. mia
 
Last edited by a moderator:
Nitahudhuria lakini nguo nyeupe majaribu. Lol!
 
Hivi kwanini uliamua kujiita thanda?, sisi kwetu upendo ni jina la kike sasa kwanini ujiite love wakati wewe meeen?. mimi sikuelewi kabisa labda Smile anidhaidie haya mahethabu ya id. mia


Asante kwa maswali zuri. Kuna majina ambay ni unisex, salon ambazo ni unisex, shule ambazo ni unisex etc etc. In our Zulu language there are some names which can be used by both male and female even in Tanzania. Yes my wife told me and I have experience on this. Upendo, and Pendo.
For example Thanda is for men, and Thando is for women.

Kwa kifupi tu:

Thanda:Love (for men only)
Thando:Love (Unisex in South Africa, Botswana and Swaziland)
Thandi: Love, Beloved one, Hope (for girls)
Thandiwe:Love, Beloved (girls) Other forms of Thandiwe are Thandeewe, Thandee, Thandy, Thandi, Thandie,Thandiewe,and Thandye

I hope you understand figganigga, and if not ,may i invite others.

If there are more question on this regarding Africans names which plays rolls in both parties, May i kindly invite Smile, nivea, gfsonwin, Asprin, Mtambuzi and many others to come and contribute on this.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hivi lara 1 leo hakuna intavyuuuuuuu!???
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom