DAR WING -wa WHITE PARTY

DAR WING -wa WHITE PARTY

Bila shaka nawe utakuja ni kile kivazi chako cha siku ile ili tukicheza mambo ya bluuz mambo yawe shamsham.... Nicas Mtei tutamtaka radhi hiyo siku.:becky::becky:

attachment.php

Sure sure babuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!
 
i will be there for you.
sasa itabidi unilipie contribution sawa??

Hehehehe! Nakushauri ujihadhari na Bishanga kama atakuwa kawekewa ulinzi shirikishi na mkewe. Vinginevyo ukipata mimba usinitafute.

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
nimefurahi nami naomba kujumuika nipe mwongozo wa kulipa hio fees mwl gfsonwin
 
Daaaaa! Nimegundua Mtambuzi utatugundua wengi maana majina halisi yatatokea! Sasa itabidi nikutumie kwa kupitia wakala aiseee! SMS itafuata baada ya hapo.

ahhaahaha siku hizi wakala wanagoma wanakutumbukizia then ndio wewe utume kazi ipo Mwajuma... nipe mimi nikutumie
 
Kuona viiiiingi sana!:madgrin::madgrin::madgrin:

hahahah! haya bana ila kule kuna siku nilikuona umekwenda na ulitumia ile simu manake ilisema kabisa
sent from nokia asha lol!
 
Hapa naombe kuuliza kuna nini?

Happy new year!
 
Wewe unatuchukia, Mimi nimeshatambua,
Vikao wavikimbia, Kazi unasingizia,
Hakika watubania, Nduguzo watukimbia,
Kimya chako cha mashaka, Nduguzo watuchukia

Surayo watubania, Kutingwa wasingizia,
Kila mara wakimbia, Vikao vya jumuia,
Kazi wazisingizia, watukimbia jamaa,
Kimya chako cha mashaka, Mduguzo watukuchukia.

Sababu waturushia, Tena za kuongopea,
Surayo twatamania, wewe unaifichia,
Kwanini watuchukia, tena unatukimbia?
Kimya chako cha mashaka, Mduguzo watukuchukia.

Na Babu ODM
Kaunta ya Juu, Mfalme Nyota,
Fyatanga Bar
Boko Basihaya.
.

babu siamini hizi vesee kama umeshusha wewe..... au ukipata Contesa ndio unatiririka hivi?

angalia ally Choki akikusikia anakusajili
 
hahahah! haya bana ila kule kuna siku nilikuona umekwenda na ulitumia ile simu manake ilisema kabisa
sent from nokia asha lol!
Vigezo na mashart kuzingatiwa....
attachment.php



babu siamini hizi vesee kama umeshusha wewe..... au ukipata Contesa ndio unatiririka hivi?

angalia ally Choki akikusikia anakusajili

Si unajua tena nikishapiga hii makitu akili yangu inafanya kazi mara mbili

ugali.jpg
samaki+wa+kupaka.jpg
 
Waooh! Safi sana. Mi ntakuja, natokea mpwapwa. Nani atanipokea maana daslam siijui vizuri'?
 
Duh... Una akili sana sana wewe! Ungesoma zaidi ya hapo ungelikuwa Mbeba kiti cha mkuu wa kaiya!!!!

Me ntatumia Private Namba :becky: :doh:
charminglady umenichekesha wewee, kidogo msosi upite njia ya hewa! Ha ha ha haaaaaa!
Si umeona mwenyewe? Eti gfsonwin anasema kutakuwa hakuna kujitambulisha majina halisi wakati kuna mdaku Mtambuzi atakuwa anayapata majina yote kwa style ya "X = 4" and "Y = 2.5" kwa raha zake! Akaa! nimeshtuka mie! Mambo ya mtu kupigiwa simu ukumbini unapokea kumbe jamaa ana solve ma-equation tu! Lol!
 
Last edited by a moderator:
Mbona Mwajuma tunalijua jina lako siku nyingi tu? Hofu ya nini msiri wa homeboy wangu Kaizer?

Ha ha haaaaa! Unaona sasa raha ya kutumia jina la kutengeneza maabara! Nani kakuambia mie naitwa "Mwajuma"? mwaJ haimaanishi Mwajuma! Ngoja leo nikufafanulie babu Asprin. mwaJ maana yake ni "m" wa "J"! Nyie subirini tu michango kupitia mawakala! Lol!
 
Last edited by a moderator:
Hapa naombe kuuliza kuna nini?

Happy new year!

Msiri wangu hatuaminiani siku hizi? Mbona hatuambizani? Ulikuwa wapi tangu X-Mas mpaka leo? Usiniambie ulikuwa kwa gfsonwin maana yeye tumekuwa tukionana labda kama ulikuwa kwa AshaDii ntakuelewa! Nilikuita kule kwa mjeda mwenzio wala haukutokea.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom