Jiwe Linaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,736
- 2,139
Mie nina wakala ambae atakubali. Akigoma natumia simu ya kuazima!
kwani unakwepesa kwepesa nini cha mno hebu tiririka??
Mie nina wakala ambae atakubali. Akigoma natumia simu ya kuazima!
mwali mwali!
unatafuta balaa wewee!oh!
nauliza hiviiii! TUTARUDI NA ROHO ZETU?
cc cacico Jiwelinaloishi mwaJ Asprin Mtambuzi lara 1 Nicas Mtei charminglady amu Madame B Ruttashobolwa
#just asking
karibu sana ma dearest
mwali mwali!
unatafuta balaa wewee!oh!
nauliza hiviiii! TUTARUDI NA ROHO ZETU?
cc cacico Jiwelinaloishi mwaJ Asprin Mtambuzi lara 1 Nicas Mtei charminglady amu Madame B Ruttashobolwa
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=just]#just [/URL] asking
ahaaa aisee nkuishi kokoro? woi iruva mbe ewe mbowi mwae? shifiya neewe!
mi si wajua ndo ugonjwa wangu haya makitu!so ujiandae tu!
cc Asprin
si ndio namsahngaa Jiwe Linaloishi anataka ukose uhondo!Mwalimu unanitega ujue...Ohoooo!!
aahh najiandaa na miwani ya mbao lol
kisa cha kufa na kihoro... ujana wote huu
mwali umenikumbusha siku ile kimara resort MC akadai Mungu na asifiwe kwa uumbaji wake lol!
si ndio namsahngaa Jiwe Linaloishi anataka ukose uhondo!
sasa mwalimu avae za haiba darasani hata kweny white pary!
ah wapi!
na kijikuku ntaweka mguuni !chezeya mimi wewe nikiwa sijabanwa na scheme of work!
Smile shanlolya kifwaamu kya iwa molyi akwa kwa Prisoner 46664..........hahahahah!ahaaa aisee nkuishi kokoro? woi iruva mbe ewe mbowi mwae? shifiya neewe!