Aiseee nimepitwa na mambo humu eee???
Yule CHAI CHUNGU alinifanya nisije huku na story yake
Aisee ni tarehe ngapi???watu tukatafute kitu whiteeeeeeeeeeee
ni tarehe 25/ 1 ma dia mchango ni sh 20000/= wewe utakuwa lady of usher sawa mamii.
kazi ipo sasa. huu u MC basi nitakuwa mm mwenyewe lol!
Mi sinywi beer ,pia sili nipo kwa diet
so nitalipa buku tano
sasa mbona hujasema sehemu??
Hapa nshatuma msg kuomba mapene nimesingizia kitchenparty mchango 35...
Teh teh bado hela ya salun kiwalo nitajinunulia....
Jamani jamani msisahau delmonte juice wengine mavitu machungu hayapiti.
Si eti watu8
karibu taari ta kisiki mae nfo boo kweeru mae........ ewe mwba kwi rho lawe??
sasa mbona hujasema sehemu??
Hapa nshatuma msg kuomba mapene nimesingizia kitchenparty mchango 35...
Teh teh bado hela ya salun kiwalo nitajinunulia....
Jamani jamani msisahau delmonte juice wengine mavitu machungu hayapiti.
Si eti watu8
No my friend, it's not an insult. My greatest apologies if you took it that way.
hahahah! kwashiseta deny mae. kumbe kukee ikwaaawi lol!
Go to Hell..!
hahahhah Smile acha utan kwa dada bana kuwa siriaz basi?? halafu naomba radhi kwa kumsahau figganigga mdogo wangu wa ukweli na Nicas Mtei(ila huyu sijui kaama wing) ngoja tuone.
yaani kwanshiniinga rahaa deny.
mama akwa nyaukye taari ta kwasadala na shitiri mmba yakwa alya bomang'umbe kufii na alya ango
NN uliona hiiNo. You go to hell and burn.