DAR WING -wa WHITE PARTY

DAR WING -wa WHITE PARTY

Mama yangu mawazo yako ni mazuri sana, mie mwanao sina wasi wasi na wewe mama yangu. Mie la kuongeza hapo, mchakato wa ukusanyaji pesa ufanyike mapema, ili kuweza kupanga taratibu zinafota ili sherehe ifanyike katika muda muafaka.

stay blessed my good son. nakupenda mwanangu.
 
Kwa hiyo ina maana vazi langu jipya la 2013 "Superman Costume" nisivae? Kama vipi watu watanigundua hasa ukizingatia mwendo wangu wa kasi.

nina ugomvi na wewe uspime ohoooooo!
 
Mimi sinaga hzo trouser nyeupe. Nina alej nazo. Nije au nisije?
 
Napenda kuja kama nitakuwepo. Na napenda kuwakaribisha Wadada kati ya 5 na 10 ambao watathibitisha kuja na nitawatolea. Wadada wakiwa wengi Wakaka watakuja tu.

Kazi mojawapo nitakayofanya ni kuhamasisha michango JF ili tusiishie kula na kunywa tu maana JF pia inahitaji msaada wenu na pesa mnazo.

Kama vipi mmechukia basi mi siji tena!

Nitolee mimi wa kwanza!!!!!! Nitakuja i promise!
 
Idea ya ukweli sana hii gfsonwin...itakuwa poa...najua itakuwa mshangazo kuonana uso kwa uso na watu walio nyuma ya idea hizi nzito za jF...lol!!!...ni lazima nije ingawa nitamaintain anonymity...wapi Asprin na pendekezo la venuuuuuueee???!?!?
bora umaintain anonymity maana lara na Ciello watavunjana miguu
 
Last edited by a moderator:
Ujue nini mama, mlitakiwa mkusanye michango mapema sana, unajua watumishi wa serikali hadi kufikia tarehe 15 au 10 watakua wagumu sana kutoa hiyo pesa ( 20000 ) ni kheri kufanya mapema kabla hawajamaliza pesa zao.
stay blessed my good son. nakupenda mwanangu.
 
khaaa! nani akatae ofa kama hii lol!
haya mm namba moja utanilipia sawa?? kisa adhabu yako uniambie kwann salam zangu za new yr hukujibu?? tatu niambie kwann sim yako haipatikan wakati kuna ishu muhimu nilitaka kuongea na wewe??

Duh! Wewe Gold Member tayari na Organizer so naomba ujilipie mwenyewe! Afu fedha unayo. Kama vipi hakuna jinsi kabisa poa nitakulipia. Kaizer kagoma kukulipia?

Sasa New Year si nilikuwa Baby Boy ndo kwanza nazaliwa? katika zawadi ninazoendelea kuletewa yako bado sijaiona.

Kwa simu sipatikani kwa namba nilibadilisha. Imrbaki line moja tu ya kuleeeeeeeeeee zinakotengenezwa! Kama vipi ni-PM!

Afu kama AshaDii; Smile na Madame B hawaji itabidi mjipange upya maana hao ndo watu wa shughuli!
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru kwakukumbusha ila sina tatizo na hili gfsonwin ila je unaonaje ikafanyika friday ya tarehe 25??Maana ukweli na jua nahizi siku kuu watu watakuwa hawajajipanga japo sikazi yangu kuwasemea naomba nijisemee kuwa mimi binafsi nitakuwa sijajipanga kwa tarehe hiyo!!Ila na muomba Madame B, Asprin na gfsonwin Zion Daughter Watu 8 amu na dar wingi ambao mtahamasika!!ila wewe Smile unataka kutuchekesha kwani tanga ulikuwa unakunywa togwa??na zile turske??BTW wote wanaopenda watoe pendekezo!
 
Last edited by a moderator:
Napenda kuja kama nitakuwepo. Na napenda kuwakaribisha Wadada kati ya 5 na 10 ambao watathibitisha kuja na nitawatolea. Wadada wakiwa wengi Wakaka watakuja tu.

Kazi mojawapo nitakayofanya ni kuhamasisha michango JF ili tusiishie kula na kunywa tu maana JF pia inahitaji msaada wenu na pesa mnazo.

Kama vipi mmechukia basi mi siji tena!
sitaki hela yako
 
location yako imenitega mwali karibu sana, hapa kulipia muhimu lol!
nitafurahije sasa kukuona???

Teacher we toa tu utaratibu wa kufikisha michango. Fanya hivyo kwa ku-edit main thread ili iwe rahisi kuona.
 
Nitolee mimi wa kwanza!!!!!! Nitakuja i promise!

Poa! Ila promise baada ya Party status yako ya Membership itabadilika kwa kuchangia JF. Kama vipi niambiwe michango inatolewa vipi!
 
Tatizo hicho kiwalo white, tutakuja na linen zinaonyesha sio mistari tu bali na rangu ya teitei. Pasco et al watakwazikajeee!
But seriously, parties with formal dress code zinakuwa kama kitchen party. Paw ntamvalishaje sasa?
 
Last edited by a moderator:
Ujue nini mama, mlitakiwa mkusanye michango mapema sana, unajua watumishi wa serikali hadi kufikia tarehe 15 au 10 watakua wagumu sana kutoa hiyo pesa ( 20000 ) ni kheri kufanya mapema kabla hawajamaliza pesa zao.
yaani ina maana wewe haujamliza mshiko maskukuu yote haya?! Kweli Mungu ni mzuri, nna overdraft nmb sina hamu!
 
Poa (just to note am a SHE):glasses-nerdy:

Najua ni SHE!!!!!!! Sasa hujui raha ya party ni Dishing n bitching abt other people???? Full maumbea na upashukuna! Umekiona kiatu cha tichaaa!!!!!!? Lile wigi la Ciello umeliona lakini? Hicho kiatu cha Madam B!!!!!! Yule mcute ni blaine au sio? Upo hapo?
 
Back
Top Bottom