DAR WING -wa WHITE PARTY

DAR WING -wa WHITE PARTY

gfsonwin;; Kweli mtu kwako,,,,,,,,,,,,Mi nilijua hata ya kuombea maji hamna kumbe wewe na Smile;; mko flu speech................Kha ha ha ha ha haaaaaa!!!!!

kukusarye eny na Smile luwonikye magorofeny?? kwanshanga se ilolya prisoner 46664 eerera kimashami.

hahahha! tafuta tafsiri hapo. halafu naomba zile specification aisee kama uko siriaz.
 
Smile kwantiria nsoro ewu wako sumbai deny kyaa! lalu kwani nyashiidime irafo isha na mwolyi??
en shilembya lee, afanyie uwiny aluwaange lunde finga mbengye kwa lara.

ha ha haa....tonga kulara konrekyo en sheamba eu nyinsha kwa usare nsi..
kya shiruyen fo ungi te ng'ira wandu wako..
 
ahaaa aisee nkuishi kokoro? woi iruva mbe ewe mbowi mwae? shifiya neewe!

shakuwya lalu nkushangaa mara lyimwi alafu kisyaa,,,
en shikunde kumanye nkonu nkekwiboo yo kwafo..
shikunde ikulola kisangun ndesa kushangaa...ha ha'
shimaa shasha na ambulance?mashika kumanya iwo Smile
 
Last edited by a moderator:
si ndio namsahngaa Jiwe Linaloishi anataka ukose uhondo!
sasa mwalimu avae za haiba darasani hata kweny white pary!
ah wapi!
na kijikuku ntaweka mguuni !chezeya mimi wewe nikiwa sijabanwa na scheme of work!
Hehehehehe! sisi washika vyuma tunasemaga..... Factor Of Safety inakuwa ignored!!

Nakusubiri mwalimu wangu, ila chonde chonde...... if you know what I mean.......:mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah:
 
Hivi nyinyi simungefungua uzi wa kabila la wachaga kuliko mnavyochakachua thread yenye mashiko? Hasa nyie 3 gfsonwin, Smile, Prisoner 46664
Hata mie nayashangaa haya mamjamaa. Si yangeenda tu Jukwaa la Lugha? Mambo ya White Party Daslam na Kimachame wapi na wapi bana? Dammmmnnnnn!!! Mi ndo maana sitahudhuria huo mpati wenu....
 
Hehehehehe! sisi washika vyuma tunasemaga..... Factor Of Safety inakuwa ignored!!

Nakusubiri mwalimu wangu, ila chonde chonde...... if you know what I mean.......:mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah:

hahahhhah! naona unaitafuta minimum factor of safety................... lol!

BTW hivi lkn kwani si lazima tupime tension of the still na bricks before??
 
Hata mie nayashangaa haya mamjamaa. Si yangeenda tu Jukwaa la Lugha? Mambo ya White Party Daslam na Kimachame wapi na wapi bana? Dammmmnnnnn!!! Mi ndo maana sitahudhuria huo mpati wenu....

hahahhah! unanichekesha sana, usjali na wewe nitaanza kukusemesha kirobo lol!
wamka bro!
 
hahahhhah! naona unaitafuta minimum factor of safety................... lol!

BTW hivi lkn kwani si lazima tupime tension of the still na bricks before??
Heheheheh Stress/Strain = Constant
 
bana we jiangalizie tu!kwani utayang'oa mwenzio Asprin ashajizoelea we unafikir mtu kama Madame B akiwa anaandika ubaoni inakuwaje!sasa mwenzio si angekuwa ashakufa !
we jitazamie tu!
yanini kufa ukakosa kushuhudia sifa na utukufu wake MUUMBA!
sosi watu8

kuangalia tu hivi hivi na kuacha ni kutesa nafsi, kama kikombe hicho hakiwezi kuniepuka ni bora kinyweke tu liwalo na liwe (sosi Pinda)
 
Back
Top Bottom