There are currently 5 users browsing this thread. (2 members and 3 guests)There are currently 2 users browsing this thread. (2 members and 0 guests)
amu hujambo weye..? Naona tumebakia wenyewe tu humu ndani lol.. Sogea kwa huku nikonong'oneze..
KakaKiiza unanitafuta nini lakini..? Aliekuambia Paloma kanitupa nani..? Mie ninaongea na shemeji yangu amu.. Ninataka nimueleze ya shoga yake.. Tuache tupumue jamani lol..There are currently 5 users browsing this thread. (2 members and 3 guests)
My take Paloma huyu mbaba naona kama usha mtupa??au si ndo alikuja fumania kule njia panda ya himo??
Mimi nimefanya hivyo kwa kujua kuwa tukianzia hapo kwenye 50,000/=
Tunaweza kutengeneza Bajeti iliyo nono!!
best poa tu! next time uwahi......utakuta mishkaki imeisha imebaki kachumbari ya kabichi!
itabidi tubadilishe kiwanja!!!
afu na mkeo.........sjui nani hapa na my wii Heaven on earth lazima awepo - kwa garama yoyote ile juu yangu!
Ehe!:A S-confused1:KakaKiiza nna miachango mia hapa............ya harusi, kichenpati, kibao kata, baikoko, zaka, kigango, ujenzi wa kanisa, jumuia, fyagio za kanisani, upatu, mcehzo wa pembeni, nimekopa pochi tatu, nnadaiwa na fundi nguo, mkopo wa officini, namalizia deni la galaxy yangu, namalizia deni la peruvian hair,...........etc etc etc
sasa na huu tena,..........mie sitakuja!
charminglady this time itakuwa combo party. Madame B alishanena!
Karibu....
zis taim iwe traffic light....tuumizane macho
I knooow...ila nawewe uwe unasamehe basi...my number one
KakaKiiza nna miachango mia hapa............ya harusi, kichenpati, kibao kata, baikoko, zaka, kigango, ujenzi wa kanisa, jumuia, fyagio za kanisani, upatu, mcehzo wa pembeni, nimekopa pochi tatu, nnadaiwa na fundi nguo, mkopo wa officini, namalizia deni la galaxy yangu, namalizia deni la peruvian hair,...........etc etc etc
sasa na huu tena,..........mie sitakuja!
Teh teh teh.... Ntakusamehe siku Pappi Kocha na Nguza watakaposamehewa..... :A S-confused1: :A S-confused1:
Teh teh teh.... Ntakusamehe siku Pappi Kocha na Nguza watakaposamehewa..... :A S-confused1: :A S-confused1:
oky nitawauliza nijue kama kuna ukweli ndani yake
ila angalia best maana ......................
Hata mimi naona hivyo Mkuu itakuwa poa sana!
Ehee mchumba tena>>>>Ref/White Party!lol
Subiri uasikia Shikamoo naomba Mia!!!!
Mwajuma ndala ndefu!ngoja awapange vipi kakudhuru mmekutana kwenye kona??ahaaaa
Niangalie nini tena my dear.....