Dar Wing huo mwaka unajongea!

Dar Wing huo mwaka unajongea!

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,952
Reaction score
9,468
Last edited by a moderator:
tupange tarehe
Chagua tarehe maana wewe ndo mdau

mmmh!!
nahisi sisomeki vile
hapana dadayngu kwanini usisomeke??hapana usifanye hivyo!!mimi nakuomba kwa heshima zote!

Yap.Tupange tarehe ya kupanga mambo.Halafu umesema kabla ya Xmass na sio baada ya mwaka mpya!?
Mimi kwa jinsi nilivyo ona nimeoma hiwe hivyo kwa wengi xmas wanakuwa wametoka ndomaana hata hizi party za family day hufanyika before x-mas hivyo na mimi nimeona hiwe hivyo au wewe unasemaje?

Escape 1 or 2 ndo wapi!??
Hizo sehemu ni viwanja vya beach escape1 iko kabla yakuvuka daraja la kawe jkt mkono wa kulia kama unaenda kawe!na escape2 ipo jangwani seabreez!Mkuu najua utakuwa umenipata!!
Naoma mawazo yako watu8, Vin Diesel na wengine ambao sijawakumbuka kwa ukaribu!
 
Last edited by a moderator:
Kama ni mjumuiko wa Kebby's basi tulikutana mwaka huu mwanzo sio mwaka jana
 
Kama ni mjumuiko wa Kebby's basi tulikutana mwaka huu mwanzo sio mwaka jana
Kumbuka mipango ilikuwa iwe mwaka jana lakini kutokana na sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wetu ndo maana tukapeleka mbele mwanzoni mwa mwaka huu!!Lakini yote yana jadilika!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom