Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
menaona bora mwakani maana wengine mwezi wa 12 lazima tukasalimie.
Namchango ukiwa 30,000 si mbaya na tuwape watu muda wa kijiandaa na kukusanya michango,
Pia nafikiri tunahitaji simple party as white party.
Wazo lako nalo ni jema kaka....tujadiliane hapa tufikie muafaka....