Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
angalia hizo saccos zako zilivyokuwa nyingi maana zinatuogopesha bure? husomeki kabisa
mpaka kaka yangu anakushtukia mwelekeo wako
Saccos kwa maendeleo ya Taifa.....
angalia hizo saccos zako zilivyokuwa nyingi maana zinatuogopesha bure? husomeki kabisa
mpaka kaka yangu anakushtukia mwelekeo wako
Saccos kwa maendeleo ya Taifa.....
haya ngoja nikuache maana nikiendelea itakuwa balaa bure
kwa heriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Shemeji Passion Lady unamuona hazband wako Ruttashobolwa lakini..?
my boss charminglady huna updates za hearing?
unajua ilikuwa leo?
Ninazo my lawyer! Ila swali je wamesamehewa??? Siku wakisamehewa ndiposa nami nitamsamehe Vin Diesel
Walishasamehewa na Mungu...hebu samahe basi sherehe hii na iwe mwanzo wa maisha mapya ya amani....
Thubutuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!! :A S 2152: :A S 2152:
Usiende mbali nami mpenzi......
hee! yamekuwa hayo tena
mbona makubwa haya :shocked::shocked:
naomba usinichanganye na binamu yangu charminglady
maana umevuka mipaka wewe ni wakuogopwa sana
charminglady ni number moja wangu....milele aminahee! yamekuwa hayo tena
mbona makubwa haya :shocked::shocked:
naomba usinichanganye na binamu yangu charminglady
maana umevuka mipaka wewe ni wakuogopwa sana
:a s 39😱hoooooo:help::help: