aokoe jahazi tena wakati nimesema nitakusaidia mbona unakuwa na kiwewe tena
Vin Diesel umeona apo ladyfurahia keshanipiga mkwalaUsidandie treni kwa mbele utadhurika wewe
achana na ladyf
okoa jahazi shemeji....
Mbaya zaidi ladyfurahia huwa hatanii......
amu nilikuwa najaribu kuoko jahazi la Vin Diesel
jamani yamekuwa hayo best?
mhm! mm na utani ni damudamu
ukipoteza mke lazima uingie kiwewe....
Mie na wewe ndio damu damu.....
mhm! damu damu tena!!
cause ni shem! acha niafiiki kiupande upande
itakuwa effect ya hii "Simulated Automated Breakthroughs...."
charminglady ni number moja wangu....milele amina
Mbaya zaidi ladyfurahia huwa hatanii......