ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Basi naomba usiniingize huko unakotaka kuniingiza bakia na yeye imilele
charminglady ni number moja wangu....milele amina
charminglady ni number moja wangu....milele amina
safari hii lazima nikaongeze mishikaki. siku ile nlikuonea aibu. nakumbuka ulipendeza sana. safari hii nawahi niskute ngano imeisha. mia
hahahhahaaaaa...pombe sio chai Ruttashobolwa. sosoliso hajui hilo yeye!
enheee.....nimwambieje amu?
cc amuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
okoa jahazi shemeji....
huwaga unanchunia sana jukwaani humu nakusalimiaga ila unanchunia tutakaa tena meza moja eeeee afu this tyme usiondoke mapema tukeshe
shiiiiiii!!nyamaza hiyo cc si penyewe babu atavuruga mipango