Naomba kuleta mawazo haya kwenu nakumbuka mwaka jana tulikutanisha wana CC pale kebbys naomba mwaka huu tu organiz kitu kama hicho kabla ya Christmas na kifanyike pale escape1 au 2 je mwaonaje?
cc
Mtambuzi, Asprin, Paloma, gfsonwin, Madame B, kipajihalisi, Zion Daughter amu, Ladyfuraha, @bijibuji, Ruttashobolwa
Naomba kuleta mawazo haya kwenu nakumbuka mwaka jana tulikutanisha wana CC pale kebbys naomba mwaka huu tu organiz kitu kama hicho kabla ya Christmas na kifanyike pale escape1 au 2 je mwaonaje?
cc
Mtambuzi, Asprin, Paloma, gfsonwin, Madame B, kipajihalisi, Zion Daughter amu, Ladyfuraha, Bujibuji, Ruttashobolwa
Chagua tarehe maana wewe ndo mdau
hapana dadayngu kwanini usisomeke??hapana usifanye hivyo!!mimi nakuomba kwa heshima zote!
Mimi kwa jinsi nilivyo ona nimeoma hiwe hivyo kwa wengi xmas wanakuwa wametoka ndomaana hata hizi party za family day hufanyika before x-mas hivyo na mimi nimeona hiwe hivyo au wewe unasemaje?
Hizo sehemu ni viwanja vya beach escape1 iko kabla yakuvuka daraja la kawe jkt mkono wa kulia kama unaenda kawe!na escape2 ipo jangwani seabreez!Mkuu najua utakuwa umenipata!!
Naoma mawazo yako watu8, Vin Diesel na wengine ambao sijawakumbuka kwa ukaribu!
Kuna tatizo upande mmoja kwanza tunawanyima fulsa wale wanaotarajia kuja dar kukosa flusa hii maana wengi wanakuja dar kusherekea sikukuu!!Na january wanarudi makazini na vitu kama hivyo!Tukifanya january kama kipindi kilichopita kuna tatizo?
Hivi nivitu vya kujadili maana kwa tarehe hizo mimi naona kama ni karibu sana!Tuko pamoja wakuu wa makuhani, naona tarehe 7 jmosi au 9 j3 zinaweza kuwa poa mbele zaidi ya hapo nahisi wengine wanaweza wakawa washakwea fastjet
Nafikiri tukipata bei za vitu za eneo husika tunaweza kuseti kiwango cha mchango kwa kila member
Twambie wewe mawazo yako yakoje na unaona nini ifanyike??tufikieni basi conclusion
Mnakaribishwa kuja kushiriki maana nanyie mnahitajika lengo nikujenga familia moja!Mkimaliza kudiscuss mtatualika na sie wa mikoani.
Hada maranyingi huwa ni january hivyo November,Mwanzo mwa December inawezekanakabla au baada ya kulipa ada za watoto...?
Changamka basi na mchango unatakiwa umlipie mapema!Hii imekaa vyema sana....... Mwaka huu lazima ning'oke na Madame B
Nivizuri lakini mjini unadhani mjini sehemu gani??Je escape1Pale jangwani sea breeze pamekaa poa. Sema tatizo ni usafiri so patatulimit muda wa kumaliza party. Tungetafuta katikati ya mji ili kuwezesha hata sisi watembea kwa daladala kuja. Mia
naafikiana na hili!
Hujambo mchumba?!?
hehe...mie sijambo mchuchu...mapenzi yetu mpaka party eeeh
Hata mimi naona hivyo Mkuu itakuwa poa sana!Nadhani tukifanya kabla ya sikukuu za mwisho wa mwaka itakuwa vyema KakaKiiza
Ehee mchumba tena>>>>Ref/White Party!lolnaafikiana na hili!
Hujambo mchumba?!?
Subiri uasikia Shikamoo naomba Mia!!!!hehe...mie sijambo mchuchu...mapenzi yetu mpaka party eeeh
Mwajuma ndala ndefu!ngoja awapange vipi kakudhuru mmekutana kwenye kona??ahaaaaUtakuwa na wachuchu wangapi wewe? Mbona hutulii?
hehe...mie sijambo mchuchu...mapenzi yetu mpaka party eeeh
Hata mimi naona hivyo Mkuu itakuwa poa sana!
Ehee mchumba tena>>>>Ref/White Party!lol
Subiri uasikia Shikamoo naomba Mia!!!!
Mwajuma ndala ndefu!ngoja awapange vipi kakudhuru mmekutana kwenye kona??ahaaaa
Nadhani tukifanya kabla ya sikukuu za mwisho wa mwaka itakuwa vyema KakaKiiza
haswaaaa.....mpaka party ndio! safari hii mpaka asubihi!!!