Kenya tokea wapate Katiba mpya bora hawana mambo ya kufichaficha kama hii Misukule ilioachwa na yule Mzee wa KihutuSijui kwanini Kenya huwa wanapenda sana kuichokoza tz
Uzushi sioNi jambo jema.
Ila Kenya wapunguze uzushi!
nchi ni ile ile shetani lakini kafa.Unateseka bure tu!
Nchi bado iko mikononi mwa ccm,
System ni ile ile..
Ilani ni ile ile...
Kilichobadirika ni bavicha kuungana na uvccm kuidemkia ccm
Ccm mbele kwa mbele
shetani alikufa sasa milango ya gereza inaanza kufunguka.30 April 2021
EMMANUEL CHARLES KUSUKA AKIWASHUKURU WATANZANIA KWA NGUVU ZAO MILANGO YA MAGEREZA IMEFUNGUKA
tutaendelea kuchanga watanzania walioonewa waww huru. hakuna mateso tena mchawi wetu kashaungana na maibilisi wenzake.30 April 2021
EMMANUEL CHARLES KUSUKA AKIWASHUKURU WATANZANIA KWA NGUVU ZAO MILANGO YA MAGEREZA IMEFUNGUKA
Kwa hiyo kaongopa kwa niaba ya kipenzi chako?
Mzoga dingi akoMbona ule Mzoga ulikuwa unawatoa Wafungwa usiku Magerezani na kuwapa Ubunge huyu Msigwa zinamtosha kweli?