Good thinking!Hatuna waalimu wa kutosha hawaandamani.
hatuna madawa ya kutosha mahospitalini hawashiriki kupata jibu lake.
nafika mahala nawahurumia sana hawa jamaa.
huwezi kuitawala dunia kama utakuwa mbumbumbu. waelekeze maandamano upande wa elimu bora.
kwa mwendo huu mkoloni mweupe atarudi tu