Acha kuchonganisha watanzania kwa imani za kidini! Humu jukwaani tunalilia mustakabali wa taifa letu. Hatuna muda na propaganda zako. Mungu ibariki TZ,Ukitaka kujua Chadema ni chama cha kina nani soma michango yao katika hii thread mpaka raha.
Hivi MasheKhe na Wachunganji/Mapadri walitoa tamko Lolote kuhusu msiba wa Mwandishi wa Habari?
Wadau Dar es Salaam Ciy Centre....naona maandamano makubwa ya watu inaohisiwa ni Waislamu hapa mitaa ya Posta Mpya wakielekea Mambo Ya Ndani....mwenye taarifa atujuze kulikoni?~
why do you involve chadema in every matter? Maana naona kila mtetezi wa chadema unam-chukulia kuwa ni mkristo, na kila anayesifia magamba basi ni mwislamu! Stop this non sense, before god, we all tanzanians! Una akili ndogo sana wewe! Nyie ndio mnaletaga machafuko kwenye nchi!!! Dawa ya watu kama nyie ni kuwafunga jiwe kubwa shingoni na kuwatupa baharini!
sio tu chadema hata ingekua ni wakristo wanaandamana wangepigwa mabomu..tumeshazoea kua waislam ni untouchables...wanajiamulia wanachotaka na serikali haiwagusi...ccm na serikali yake wameonyesha jinsi walivyo wadini...
jamani wana CDM tutake hii advantage.......hima tulianzisheni
Uislamu ufutwe Tanzania! Wazee wa Suruali fupi wanasaka ubwa bwa
Pamoja sana nini sasa wakati Dhaifu wenu anachochea udini baada ya uchaguzi hamkuliona hilo sasa tulieni moto mliuanzisha sasa uzimeni.Well said mkuu Ritz, pamoja saana!
sio jenga la Exim Bank ni jengo la Exim Bank.Sogea mitaa ya posta mpya jenga la Exim Bank halafu ongea hayo maneno uone utakavyogombaniwa kama mpira wa kona, wewe endelea kubweka tu nyuma ya Laptop.
Nakubaliana na wewe kabisa. Inawaogopa waislam. Inawaogopa waislam kwa sababu ni mtaji pekee wa serikali ya CCM kubaki madarakani. Ni hicho tu kinachowazuia serikali kuwashughulikia waislam. Na hata kesho mkiamua mnaweza kuandamana.Inawaogopa kijana, wala haihusiani na dini ya JK.
NIMEKWAMBAIA WEWE NI KAMA GURUDUMU, HUNA CHA ZAIDI YA KUZHUNGSHWA TU NA EXCELI
i talked of time factor, siwezi kulinganisha ya 1990s na leo, nimeweka koment inayoendana na hali ya leo, meaning in the timeframe ya mwezi mmoja tu, tumeshuhudia double standards, hawa wanauwawa kwa kufungua tawi, hawa wanakata viuno na fiesta (tena wanalindwa) na hawa wanasumbua watu barabarani (tena bila vibali na hakuna hatua), siwezi kuzungumzia ya mwembechai kwasbabu nyakati ni tofauti, tena wakati ule... maana mengi yamebadilika,
nazungumzia yaliyo ndani ya siku chache zilizopita kwani it is fair kulinganisha matukio na nyakati na wahusika ili kuwa na good comparison, siwezi kulinganisha ya enzi za mwalimu na leo kwenye haki za binadamu
soma signature yangu, itakusaidia
Ofcourse...maadui ni wakristo.