Cha Moto
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 945
- 154
Mnaubavu wakuandamana nyinyi?waoga sana a,k,a kunguru,labda muandamane kupitia chama chenu cha wagalatia,
Duuuh Ngongoseke,
Mbona matusi tena Sheikh?
Kunguru, Wagalatia .............. !
Mnaubavu wakuandamana nyinyi?waoga sana a,k,a kunguru,labda muandamane kupitia chama chenu cha wagalatia,
Sasa yeye keshakuwa sultan na si raisi tena.Haya bana,kwa taarifa yako sina muda wa kusikiliza hizo hotuba za mwisho wa mwezi.Nchi haingozwi kwa style anayofanya bana.
pamoja na yote nawashukuru sana waislamu kwa maandamano yao ya leo mana yataujulisha ulimwengu jins serikali na polisi wa ccm wanavyoonea chademaHalafu eti wanasema JK si mdini!wapi bana,fumbo mfumbie mjinga.
qaraa suratul nisaa aya ya 59 inasema; "watiini waliopewa mamlaka kati ya nyinyi!"
kwa mujibu wa quran asietii, ni kafiri au hiyo ayat imechakachuliwa?
Mkuu umeshasahau rais na makamo wake ni waislamusio tu chadema hata ingekua ni wakristo wanaandamana wangepigwa mabomu..tumeshazoea kua waislam ni untouchables...wanajiamulia wanachotaka na serikali haiwagusi...ccm na serikali yake wameonyesha jinsi walivyo wadini...
Na last time I checked Tanzania inaongozwa kwa Katiba na sio Quran wala Bible.., haya mambo ya kuita watu na kuwagawa watanzania katika Christians na Waislamu ni kupotoka.., hii nchi ni ya watanzania ambapo tunao Hindu's wapagani na dini nyingine ambazo zitakuja kesho au keshokutwa (no one cares) dini ni Imani yako wewe ndugu zako na watu wenye Imani kama wewe yakija masuala ya ki-serikali ya kujenga nchi (na sio makanisa au mahekalu) basi kama wewe ni mtanzania na utakula hio keki baada ya kuigawa kutokana na estimations za tupo wangapi basi ni lazima uhesabiwe...upuuzi wa maandiko ya vitabu vyenu vilivyochakachuliwa uculete ktk imani ze2. Islam do recognise all, be it social issues, politics, economics and ol tht u knw are still a part and parcel of religion.
Hayo uyasemayo ni ya bible na c QUR-AN.
Behave guy.
NIMEKWAMBAIA WEWE NI KAMA GURUDUMU, HUNA CHA ZAIDI YA KUZHUNGSHWA TU NA EXCELI
i talked of time factor, siwezi kulinganisha ya 1990s na leo, nimeweka koment inayoendana na hali ya leo, meaning in the timeframe ya mwezi mmoja tu, tumeshuhudia double standards, hawa wanauwawa kwa kufungua tawi, hawa wanakata viuno na fiesta (tena wanalindwa) na hawa wanasumbua watu barabarani (tena bila vibali na hakuna hatua), siwezi kuzungumzia ya mwembechai kwasbabu nyakati ni tofauti, tena wakati ule... maana mengi yamebadilika,
nazungumzia yaliyo ndani ya siku chache zilizopita kwani it is fair kulinganisha matukio na nyakati na wahusika ili kuwa na good comparison, siwezi kulinganisha ya enzi za mwalimu na leo kwenye haki za binadamu
soma signature yangu, itakusaidia
Mkuu Ikulu nendeni nyie sie tuna madai yetu...usitupangie.
sasa wewe unataka kufananisha cdm na waislam? Hao walioandamana hapo wameandamana kwa imani zao,wale cdm wanaandamana kwa maslahi ya kigenge flani cha kusini kinachotaka kujipa madaraka kwa njia ya panya,waislam hawajawahi kushindwa sehem yyte duniani wanapotaka kitu kifanyike,na kama huamini fatilia sehem zote duniani ambazo waislam wameminyiwa haki zao kama kuna amani,
Sasa ndio mjue kuwa CDM bila waislamu hawata shika hii nchi.