Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

Status
Not open for further replies.
Waislam mchana huu wanakusanyika maeneo ya kariakoo kwa ajili ya kwenda Wizara ya mambo ya ndani kwa njia ya maandamano,lengo kuu la maandamano hayo ni kwa ajili ya kuishinikiza serikali kuwaachia huru na kuwafutia kesi watu ambao wamekamatwa kutokana na kususia zoezi la SENSA,TAYARI waislam waliosali msikiti wa mtambani(kitovu cha harakati) wanaelekea huko

Sasa hizi ni harakati za kishenzi. Kwani sensa inahusiana vp na waislaam?
 
Wanaandamana katika mambo yenye kipaumbele kidogo na kuacha yenye kipaumbele kikubwa.

wangeandamana kudai kuongeza majengo ya chuo kikuu cha Waislamu morogoro hawa jamaa wangekuwa mbali sana kielimu. tangu Mkapa alipowapa majengo hayo ya serikali miaka 10 iliyopita hawajaongeza darasa hata moja.
 
Wale polisi wa Iringa hawajafika hapo kuua?
 
natumaini police hawatatumia silaha za moto.....sitaki kuona picha za kutisha
 
Kwani Hujui hao jamaa wameshasahau kuwa kuna WATANZANIA. Ukifuatilia inawezekana wanamambo ya KIDINI
 
ngoja magari yatoke ukonga watajuta kuandamana
washawasha zinakuja
Kaburi linatisha kuliko hayo unayoyaogopa Imani yako ya uongo
ndio inakufanya uogope vitu vidogo kama hivyo, historia inaonyesha
wengi wenye Imani ya kweli hupita kwenye wakati mgumu
Ibrahim, Yusufu, Yakubu, Musa, Issa(Yesu) n.k. Huwezi kuishi
kwenye Imani ya kweli ikakukosa misukosuko.
 
kwako Ritz wakiandamana hawa hana shida wakiandaana chadema anapata shida sana. chadema angesema wamepata wapi kibali.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom