Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

Status
Not open for further replies.
Serikali ilisha sema atakae kataa kuhesabiwa anatiwa ndani, sasa maandamano ya nini wakati walijua matokeo ya kugoma. Acha watandikwe tu, hakuna mtu anaruhusiwa kuvunja sheria, hakuna cha uislamu, CDM wala ukristo.
 
Wamewakamata wamewahesabu sasa wawa achie...mbona majizi ya Rasmali hayakamatwi..

Logic ingetaka hivi, kwa kuwa wizi wa rasilimali ulianza kabla ya sensa, kwanini hawakuandamana kupinga wizi? Chadema wakisema wao wanaitana misikitini na kusema hichi ni chama cha makafiri. Wasipigiwe kura. Sasa wanaelewa jambo moja, kuwa Tanzania adui yetu ni mmoja tuu! CCM
 
wangekuwa chadema muda huu kitambo ma breaking news yameshatoa raia kapigwa risasi!
 



waislam sio waoga! mwislam yupo tayari hata kupoteza maisha yake kwa ajili ya ndugu zake! hii yaitwa ikhwan muslimin "muslims brotherhood" hatujali kabila, ramgi, jinsia.. as long una kalimah ya la! ilah! ila Allah! wewe ni mwenzetu

wewe huyo unayesema haya???

LOOOOLLLLLL
 
haya maandamano ingekua chadema, ungesikia weshapigwa risasi kama mia hivi na kutaka kufuta chama

i hope watajaribu kusema wanafuta uislamu nchini maana some of our politicians ni viazi
 
Logic ingetaka hivi, kwa kuwa wizi wa rasilimali ulianza kabla ya sensa, kwanini hawakuandamana kupinga wizi? Chadema wakisema wao wanaitana misikitini na kusema hichi ni chama cha makafiri. Wasipigiwe kura. Sasa wanaelewa jambo moja, kuwa Tanzania adui yetu ni mmoja tuu! CCM

Umenijibu au umenipa Notisi..
 
ndugu neno lenye dharau achana nalo lakini lenye ukweli litakusaidia.

Mkuu hatuwezi kuacha kuangalia dharau zenu dhidi ya dini yetu halafu nyie hao hao upande wa pili mnakuwa wateteza wa Chadema, hii ndio hukumu zenu watu wengi siku wanasoma michango ya JF na imani kabisa kila siku Chadema mnapoteza wanachama kutoka jamii ya kiislam...endeleeni na kejeli ndio vizuri.
 
Magari ya polisi yanatoka hapa Kanda maalum ya Dar es salaam yakiwa na Askari wakakamavu wenye silaha za moto na Mabomu!.. Mamejiandaa haswa!.. Wamegawanyika makundi manne
 
wewe huyo unayesema haya???

LOOOOLLLLLL

tatizo lako nini!.. mtu yoyote aliye tam,ka qalimah ni ndugu yangu! ... do you have any problem with that .. btw! nimependa comment yako about J- makamba.. kumbe sometimes network zinatulia
 
Sidhani kama kuna mtu ambaye alishafanikiwa kuwadhalilisha waislam wa Tanzania kama huyu Ponda. Anawaambie wagomee sensa, wanagoma lakini yeye anarudi nyuma na kuhesabiwa. Sasa wamekamatwa kwa kugomea sensa ambayo yeye (Ponda) alishiriki, na kuwaambia watembee juani, na wao wanamfuata. Jioni atavuta mpunga wake, wachovu wataenda majumbani kunawa vumbi. Kesho atakuja na ajenda nyingine na watamsikiliza - full time job kuburuza watu na hawastuki!
 
Kwa mujibu wa Godfrey Monyo wa ITV, na ITV breaking news, Waislamu kutoka sehemu mbalimbali za jiji la Dar Es Salaam wamekusanyika wizara ya mambo ya ndani kushinikiza waislamu waliokamatwa kwa sababu ya kukataa kuhesabiwa/kushawishi wengine wasihesabiwe waachiwe huru!. Tukio hili limetokea mchana huu wa leo na kuripotiwa na ITV saa 8:40..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom