jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,381
- 25,476
Kuna tofauti kati ya maslahi ya watanzania na maslahi ya uislam?hakuna kuiacha hisia ya imani yako popote, nilishangaa ritz na ile statement yake pale, dunia ya sasa kila mwenye imani yake inabidi aioneshe na aiteteee, no matter what