Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,152
- 10,683
Hivi wewe unajaribu kufananisha idadi ya waislamu na wanachama wa CDM? Nyie mko kidogo sana bibie ndio maana mnaonewa, waislamu ni number ingine bana. Haguswi mtu hapo,we utaona.
usichanganye madesa
waislamu wanaoandamana ni kidogo sana, hawafiki hata 10% ya waislamu wote